Wabunge wa CCM walimsifia Magufuli kwamba anatumia fedha za ndani, leo wampongeza Rais Samia kwamba anatutafutia riziki nje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,763
141,628
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama ilikuwa ni lazima amsifie Hayati Magufuli kwamba, hakopi fedha na miradi mikubwa yote unatumia fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za nje na kufanikiwa kututafutia riziki. Nasema ni wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili CHADEMA ina mbunge mmoja tu.

Nilichojifunza, ukiwa kiongozi usiwaamini sana wabunge wa CCM, wako kimaslahi zaidi. Wanaweza kukuingiza chaka kwa sifa zao za usoni siyo moyoni.

Mlale unono!
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama Ilikuwa ni lazima amsifie hayati Magufuli kwamba Hakopi Fedha na Miradi mikubwa yote unatumia Fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za Nje na kufanikiwa kututafutia Riziki

Nasema ni Wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili Chadema ina mbunge mmoja tu

Nilichojifunza ukiwa Kiongozi usiwaamini sana Wabunge wa CCM wako kimaslahi zaidi wanaweza kukuingiza chaka kwa Sifa zao za Usoni siyo moyoni

Mlale unono!
Yani wabunge wengi wamejaa unafki tu
 
Mfumo wa siasa za kiafrika ndivyo ulivyo, huwezi kumponda boss anayekupa kula hata kama chakula unapewa na watu wengine, yaani unafiki plus kumpaka mafuta boss wako kisiasa ndiyo njia ya kuishi hapa Afrika.

Kule kwa jeshi la mtu mmoja ilikuwa lazima wacheze naye mdundo sawa na sasa mpiga zumari ni mwingine lazima waende na mdundo wake, ukiona huwezi kuuchakata unaondoka uwanjani, japo lazima tujue mwenzetu huyu vipi na kwa nini?.

Mwisho hata ukiwa wewe lazima ufanye hicho wanachofanya hawo wanasiasa wenu, humu jukwaani tunajipa moyo na kusema mbovu tu dhidi yao, but mkate wa siagi ni mtamu aseee!.
 
Sio wabunge wa CCM tu, hii ni asili ya watanzania wengi, maisha yao ni jukwaa la maigizo uhalisia wao wanaujua wao wenyewe
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama Ilikuwa ni lazima amsifie hayati Magufuli kwamba Hakopi Fedha na Miradi mikubwa yote unatumia Fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za Nje na kufanikiwa kututafutia Riziki

Nasema ni Wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili Chadema ina mbunge mmoja tu

Nilichojifunza ukiwa Kiongozi usiwaamini sana Wabunge wa CCM wako kimaslahi zaidi wanaweza kukuingiza chaka kwa Sifa zao za Usoni siyo moyoni

Mlale unono!
Humu JF pia wamo Wanaoitwa chawa , wewe ukiwemo
 
Kwa mfumo wa utawala ulivyo, kulamba viatu vya mkubwa ndo kunakuhakikishia ulaji wako kuwa endelevu !
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama Ilikuwa ni lazima amsifie hayati Magufuli kwamba Hakopi Fedha na Miradi mikubwa yote unatumia Fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za Nje na kufanikiwa kututafutia Riziki

Nasema ni Wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili Chadema ina mbunge mmoja tu

Nilichojifunza ukiwa Kiongozi usiwaamini sana Wabunge wa CCM wako kimaslahi zaidi wanaweza kukuingiza chaka kwa Sifa zao za Usoni siyo moyoni

Mlale unono!
Naanza kukupenda polepole
 
WABUNGE WA CCM NI KAMA BENDERA FUATA UPEPO HAWAJUI WANACHOKISIMAMIA
 
Uongozi ni karama, sio fursa kama ambayo jamii yetu inautazama. Tunapochagua viongozi kwa kiasi fulani tunacheza kamari kwa kutowajua vizuri tunaowachagua. Tungekuwa watu wa kufikiri sawasawa, kipindi cha kuanzia 2015 na kuendelea kingekuwa chujio la wazi kutuonyesha wasiostahili kutuongoza.

Kwa bahati mbaya, tupo tulivyo.
 
Katika maisha daima, si kila anaekubigia makofi huwa anakushangilia, wengine huwa wanakung'ong'a hapo hapo.
Magufuli na Hangaya wote wanasikilizishwa yale wanayotaka kusikia kwa maslahi ya wengine kabisa.
Ogopa sana binadamu mwenye uchu, anaweza kukusifia umependeza ilhali ukiwa uchi wa mnyama.
Sasa acha atembeze ushungi kukinga bakuli, kesho atazomewa kuwa alikopa kopa ovyo tu bila mpangilio. Kipindi hicho wapiga makofi wanakula kipupwe ufukweni.
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama Ilikuwa ni lazima amsifie hayati Magufuli kwamba Hakopi Fedha na Miradi mikubwa yote unatumia Fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za Nje na kufanikiwa kututafutia Riziki

Nasema ni Wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili Chadema ina mbunge mmoja tu

Nilichojifunza ukiwa Kiongozi usiwaamini sana Wabunge wa CCM wako kimaslahi zaidi wanaweza kukuingiza chaka kwa Sifa zao za Usoni siyo moyoni

Mlale unono!
Chama Cha Mataahira
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama Ilikuwa ni lazima amsifie hayati Magufuli kwamba Hakopi Fedha na Miradi mikubwa yote unatumia Fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za Nje na kufanikiwa kututafutia Riziki

Nasema ni Wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili Chadema ina mbunge mmoja tu

Nilichojifunza ukiwa Kiongozi usiwaamini sana Wabunge wa CCM wako kimaslahi zaidi wanaweza kukuingiza chaka kwa Sifa zao za Usoni siyo moyoni

Mlale unono!
Chama Cha Mataahira
 
Wakati wa awamu ya 5 kila mbunge akisimama ilikuwa ni lazima amsifie Hayati Magufuli kwamba, hakopi fedha na miradi mikubwa yote unatumia fedha za ndani.

Leo kila mbunge aliyesimama amempongeza Rais Samia kwa kwenda nchi za nje na kufanikiwa kututafutia riziki. Nasema ni wabunge wa CCM kwa sababu katika Bunge hili CHADEMA ina mbunge mmoja tu.

Nilichojifunza, ukiwa kiongozi usiwaamini sana wabunge wa CCM, wako kimaslahi zaidi. Wanaweza kukuingiza chaka kwa sifa zao za usoni siyo moyoni.

Mlale unono!
Wahenga walisema: Pangu pakavu tia mchuzi
 
Mfumo wa siasa za kiafrika ndivyo ulivyo, huwezi kumponda boss anayekupa kula hata kama chakula unapewa na watu wengine, yaani unafiki plus kumpaka mafuta boss wako kisiasa ndiyo njia ya kuishi hapa Afrika.

Kule kwa jeshi la mtu mmoja ilikuwa lazima wacheze naye mdundo sawa na sasa mpiga zumari ni mwingine lazima waende na mdundo wake, ukiona huwezi kuuchakata unaondoka uwanjani, japo lazima tujue mwenzetu huyu vipi na kwa nini?.

Mwisho hata ukiwa wewe lazima ufanye hicho wanachofanya hawo wanasiasa wenu, humu jukwaani tunajipa moyo na kusema mbovu tu dhidi yao, but mkate wa siagi ni mtamu aseee!.
Pumba tupu. Wewe ni mbunge sio bure.
 
Back
Top Bottom