Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa tutaacha siasa na kuingia kwenye biashara kweli, tukaruhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kwa Afrika, Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa na uchumi mkubwa miaka 15 ijayo. China mwaka 1979...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuweka bei elekezi katika huduma na bidhaa inazonunua. "Kwanini nchi nyingine za jirani na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Tathmini yangu inaniambia katika mapambano yanayoendelea Jeshi la wapiganaji limepigwa vibaya mno na Kama Hali itaendelea hivi basi wapiganaji watamuachia Adui Yao mgongo. Kuna...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma. Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12...
16 Reactions
1K Replies
153K Views
Hii ndiyo taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Nabi wa Mungu Godbless Lema, aliyoisambaza mitandaoni. Inadaiwa chanzo cha Ney wa Mitego kutafutwa na Polisi wa Tanzania ni ngoma yake kali aliyoitoa...
13 Reactions
72 Replies
6K Views
NAIBU Waziri wa Ardhi, Ridhiwan Kikwete ameahidi kushughulikia tatizo la mgogoro wa ardhi kwenye eneo la Chasimba, Bunju wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na HabariLeo...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu, Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na...
1 Reactions
8 Replies
625 Views
Sio kwamba hatuwezi kuendelea Sio kwamba Mungu anatuchukia Sio kwamba hatuna akili kichwani Tuna akili Tunaweza kuendelea kama wenzetu Na Mungu anatupenda saana Ila tatizo kubwa la Waafrika ni...
6 Reactions
11 Replies
738 Views
Amini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha. Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo...
16 Reactions
85 Replies
4K Views
Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge...
3 Reactions
11 Replies
974 Views
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali. Afu madudu yakifanyika Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Erick shingongo anasema yachapwe bakora, msukuma anasema yeye akiyasema anaambiwa hakutaka wewe uwe Rais, Tanzania na hakutaka J Makamba awe Waziri,(hata Mimi sifileo sikutaka wewe Mama uwe Rais...
1 Reactions
6 Replies
752 Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri. Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kijana Kumbusho Dawson Kagine Amekamatwa kwa kosa la kutuma PICHA za hosteli za Magufuli za UDSM. Yupo kituo cha Polisi UDSM na anapelekwa Central! ====== UPATES: Amenyimwa dhamana Dar es...
44 Reactions
769 Replies
97K Views
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, limesema halina taarifa za kukamatwa kwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Kumbusho Dawson kwa tuhuma za kupiga picha...
0 Reactions
58 Replies
11K Views
Baada yakuripotiwa kuwa na Nyufa kadhaa katika Jengo jipya la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam zilizobuniwa na Wakala wa Majengo nchini (TBA), Desemba 3, 2017, TBA wamefanya ukaguzi katika Jengo hilo...
11 Reactions
652 Replies
91K Views
Waafrica shobo zetu ndo zitatuponza kuna ambao wana msupoti Mrusi wengine Mmarekani wengine mchina Yaani sisi tumekuwa masapota sasa Ila ukweli katika watu wote hawa akuna mtu mwema kwa mtu mweusi...
1 Reactions
5 Replies
395 Views
Kunatofauti kubwa Kati ya Demokrasia na Uchumi, na nivitu ambavyo haviendi Pamoja, lakini vilevile Ikiwa kimoja kitainuka lazima kingine kianguke. Demokrasia katika ulingo wa kisiasa kwa upana...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom