Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,007
Hivi watumishi wa umma wa taifa hili mnajitambua kweli, nyinyi na vyama vyenu vya wafanyakazi?
Nyinyi ndio mnaokuwa wa kwanza kudai mboreshewe maslahi na Serikali kila mwaka, mnadhani hizo pesa za kuwaongezea zinatoka wapi kama sio kwenye hizi kodi za wavuja jasho wa Tz zinazoibiwa na kutafunwa na hawa mafisadi wanaosemwa bungeni?
Wakati wa kugombea uhuru wa taifa hili, wafanyakazi walikuwa wanajitambua na waliwapa nguvu sana wapambanaji wa wakati ule. Kwa nn leo mapambano ya kuondoa ufisadi na kujikomboa kiuchumi kama taifa watumishi wa umma mpo mpo tu kama mabogaz?
Amkeni basi, mfanye hata maandamano mafupi tu , hata ya km 2 tu mwape nguvu vijana wetu bungeni, mnatia aibu asee,!
Wakati wa azimio la Arusha watu waliandamana km nyingi kutoka mikoa ya mbali mpaka butiama kumuunga mkono hayati JK Nyerere , acheni uzembe , huko ni kuonyesha hamjui hata mnafanya nn, na mzunguko wa maslahi yenu upoje katika uchumi wa hili taifa.
FIKIRIA TU :
Ingekuwa mm ama wewe ni mmoja wa hao mafisadi kisha ukasoma uzi huu je ungeujibu vipi ?
Ni wazi ungesema ama ungemtuma mtu aseme , " kwanza wabunge wenyewe waliiba kura hao ",
Dont trust every body in this world,