Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Habarini wakuu? Poleni na majukumu mengi.
Prof Makame Mbarawa nimemsikia, kumuona kitambo sana!
Simuoni kwenye harakati, hafla, warsha, zinduzi za miradi mbalimbali hasa ile ya kwenye Wizara yake ya Ujenzi.
Yuko wapi huyu Waziri?
Au majukumu yamembana?
Tujuzane wakuu