Tupunguze siasa tujenge Bandari ya Bagamoyo

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
430
623
Ikiwa tutaacha siasa na kuingia kwenye biashara kweli, tukaruhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kwa Afrika, Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa na uchumi mkubwa miaka 15 ijayo.

China mwaka 1979, ilipewa fursa na Marekani, kwa China kuhamishia viwanda vyake huko chini ya mpango wa One Road Belt Initiative, China imeichagua Tanzania kuhamishia viwanda hapa.

Hii ni kutokana na mtaji wa amani tulionao. Ndivyo ilivyokuwa kwao, na sasa ni zamu yetu.
 
Upunguze siasa gani wakati huko walipo kuna mikataba kama 15 unajuaje wa bandari haumo?.
 
Viongozi waache ubinafsi wa kuendeleza kwao.
Bandari ya bagamoyo ni mradI wa JK kupendelea kwao .
Tuache ujinga huo tuboreshe bandari zetu kubwa zilizopo za dsm ,tanga na mtwara.
Hizi tulizonazo zinasuasua tuziboreshe hizo to the maximum ndio tufikirie kuanzisha mpya.
Bandari ya bagamoyo ni ishu ya Msoga gang, ambao ndio wanaendesha nchi sasa yaani ili tu kunufaisha kwake
 
Viongozi waache ubinafsi wa kuendeleza kwao.
Bandari ya bagamoyo ni mradI wa JK kupendelea kwao .
Tuache ujinga huo tuboreshe bandari zetu kubwa za dsm ,tanga na mtwara.
Hizi tulizonazo zinasuasua tuziboreshe hizo to the maximum ndio tufikirie kuanzisha mpya.
Bandari ya bagamoyo ni ishu ya Msoga gang, ambao ndio wanaendesha nchi sasa yaani ili tu kunufaisha kwake
Acha kumchafua mzee Kikwete. Kikwete alikuwa rais na hakujenga chochote kwao halafu unatuletea ndindindi hapa.

Kikwete is a statesman, siyo kama yule mbwiga mshamba na limbukeni ambaye kazi yake ilikuwa kupandikizwa ukabila, kujenga kwao na kuua watu.
 
Ikiwa tutaacha siasa na kuingia kwenye Biashara kweli, tukaruhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, kwa Afrika Tanzania ndio nchi itakayokuwa na uchumi mkubwa miaka 15 ijayo ni Tanzania.

China mwaka 1979, ilipewa fursa na Marekani, kwa China kuhamishia viwanda vyake huko.

Chini ya Mpango wa One Road Belt Initiative, China imeichagua Tanzania kuhamishia viwanda hapa.

Hii ni kutokana na mtaji wa amani tulio nao. Ndivyo ilivyokuwa kwao, na sasa ni zamu yetu.
Samahani mkuu, lakini sina hakika kama unakielewa vizuri unachokijadili hapa. China , Marekani na Tanzania?

Unaelewa kitu gani juu ya hizi nchi?

Wewe kwa ufahamu wako unategemea China aje hapa aijenge Tanzania katika miaka 15 iwe na uchumi mkubwa huku waTanzania wenyewe wakipiga soga. Kweli?

Kwa ufahamu wako, unajua kabisa kuwa "China mwaka 1979 ilipewa fursa na Marekani", huku waChina wakipiga soga kama waTanzania walivyo sasa?

Hebu jamani, mambo mengine muwe mnajiongeza kidogo, kwa kutumia akili mlizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
 
Kawaambie waliokutuma hiyo bandari ya kifisadi haijengwi nchi hii kamwe.
Pole zako, na sisi wengine wote tunaoihitaji sana hiyo bandari, lakini hatuna njia ya kuzuia isinadiwe, bali sisi wenyewe ndio tuwe wahusika wakuu wa miradi mkakati kama huu. Samia anauza tu, hakuna kinachomuuma mama wa watu, kwa sababu hana kinachomuuma sana juu ya nchi aliyoiokota kama tunda la mpera.

Mradi huu umekwishanyakuliwa. Samia yupo bize sana na vitu kama hivi katika kuvinadi kwa wenye bei anayoitaka yeye na genge lake.
 
Ikiwa tutaacha siasa na kuingia kwenye Biashara kweli, tukaruhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, kwa Afrika Tanzania ndio nchi itakayokuwa na uchumi mkubwa miaka 15 ijayo ni Tanzania.

China mwaka 1979, ilipewa fursa na Marekani, kwa China kuhamishia viwanda vyake huko.

Chini ya Mpango wa One Road Belt Initiative, China imeichagua Tanzania kuhamishia viwanda hapa.

Hii ni kutokana na mtaji wa amani tulio nao. Ndivyo ilivyokuwa kwao, na sasa ni zamu yetu.
Ili Asali Gang itimize ndoto zake!

Ili Mtoto wa Msoga aanze walau kutoka nje ya nchi!

Ili ahadi za kuachiwa huru Prince Msoga zikamilike!
IMG-20221104-WA0008.jpg
 
Pole zako, na sisi wengine wote tunaoihitaji sana hiyo bandari, lakini hatuna njia ya kuzuia isinadiwe, bali sisi wenyewe ndio tuwe wahusika wakuu wa miradi mkakati kama huu. Samia anauza tu, hakuna kinachomuuma mama wa watu, kwa sababu hana kinachomuuma sana juu ya nchi aliyoiokota kama tunda la mpera.

Mradi huu umekwishanyakuliwa. Samia yupo bize sana na vitu kama hivi katika kuvinadi kwa wenye bei anayoitaka yeye na genge lake.
Pole yako wewe, huo mradi ukijengwa nipo hapa njoo unikumbushe
 
Bandari ya BAGAMOYO lazima ijengwe maana SGR haiwezi kwend kwa UWEZO wa bandari ya sasa hayo yalishasemwa muda sana.

Shida ni sisi kunza kujenga kwa pesa zetu bila CHINA, ambao walitaka kutengezea Hub yao kwa ukanda huu wa africa.

Tukijenga kwa zetu ni another big LOSS, so bi ishungi akomae na wachina mpaka kieleweke,

SGR izachelewa sana kukamilika sbabu hkuna mizigo.
 
Lazima ijengwe kwa maslahi ya nani? Ya Tanzania au matapeli wa Mzoga? Kuna miradi mikubwa ya kimkakati yenye maslahi ya taifa kama bwana la nyerere, SGR, Kigongo-Busisi yote haijakamilika wala haieleweki, ila tuipotezee tukawajengee wahuni wachache bandari sebuleni kwao? Aaah wewe
 
Lazima ijengwe kwa maslahi ya nani? Ya Tanzania au matapeli wa Mzoga? Kuba miradi ya bwana la nyerere, SGR, Kigongo-Busisi yote haijakamilika wala haieleweki, ila tuipotezee tukawajengee wahuni wachache bandari sebuleni kwao? Aaah wewe
Miradi yote inakamilishwa, fuatilia mpaka sasa hakuna mradi wowote uliokwama.

Tunahitaji mizigo kw ajili ya Sgr, kw uwezo wa bandari yetu ya dar es salaam kwa sasa hakuna uwezo inatakiwa iboreshwe na bado haitoshi.

So hatuwezi kuwa billions dollar project isiyo na faida.
 
Ikamilishwe kwanza sasa hiyo miradi maana mingine iko long overdue na ilitakiwa tayari iwe inafanya kazi sahizi. Kuhusu bandari, bandari ya DSM ilitengewa budget na imepanuliwa, bandari kongwe za tanga na mtwara ziko vizuri na kama ni kuboresha maboresho yaanzie huko. Hii bandari ya kitapeli ya bagamoyo inapigiwa chapuo kwa maslahi ya nani?? Kila mtu apambane na hali yake, kama walitoa ahadi kwa hao wachina wajue wenyewe watamalizana nao vipi ila sio kwa kuweka nchi yetu rehani kwa maslahi ya matapeli wachache. Hatukubali.
 
Pole yako wewe, huo mradi ukijengwa nipo hapa njoo unikumbushe
LOooo, naona wewe siyo mfuatiliaji mzuri wa maswala kama haya.
Basi subiri hapo hapo mradi utakukuta ukiusubiri.

Naomba usirukie tu kujibu jambo usilokuwa na taarifa nalo.
Ninakupa pole nyingine, baada ya kujipa mwenyewe pole nyingine kwa maumivu ya roho yanayoniumiza ndani kwa ndani juu ya hali hii ya kunadiwa tunayofanyiwa sasa hivi.
 
Utaona
 
Ikamilishwe kwanza sasa hiyo miradi maana mingine iko long overdue na ilitakiwa tayari iwe inafanya kazi sahizi. Kuhusu bandari, bandari ya DSM ilitengewa budget na imepanuliwa, bandari kongwe za tanga na mtwara ziko vizuri na kama ni kuboresha maboresho yaanzie huko. Hii bandari ya kitapeli ya bagamoyo inapigiwa chapuo kwa maslahi ya nani?? Kila mtu apambane na hali yake, kama walitoa ahadi kwa hao wachina wajue wenyewe watamalizana nao vipi ila sio kwa kuweka nchi yetu rehani kwa maslahi ya matapeli wachache. Hatukubali.
Jitahidi kufuatilia hizo bandari zote ulizotaja kuna maboresho yanaendelea.

Lakini bado tunahitaji bandari ya bagamoyo, terms ndio kitu cha kuzingatiwa, hila mradi hauna shida na hao unaowataja sio wnaoingia mikataba.

Tunahitaji hiyo bandari kwa maslahi ya uchumi wetu na kuleta tija kwenye sgr.
 
Bandari ya BAGAMOYO lazima ijengwe maana SGR haiwezi kwend kwa UWEZO wa bandari ya sasa hayo yalishasemwa muda sana.

Shida ni sisi kunza kujenga kwa pesa zetu bila CHINA, ambao walitaka kutengezea Hub yao kwa ukanda huu wa africa.

Tukijenga kwa zetu ni another big LOSS, so bi ishungi akomae na wachina mpaka kieleweke,

SGR izachelewa sana kukamilika sbabu hkuna mizigo.
Hiyo mizigo unayoongelea ni ya kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom