Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natoa Pole kwa Familia zilizopoteza ndugu zao, Majeruhi wanaopatiwa matibabu Hospitali ya rufaa Bukoba na Watanzania kwa Ujumla, kwa ajali ya Ndege iliyotokea Jana tarehe 6 Novemba, 2022 Matukio...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tangazo la kufuta vijiji vyote vinavyopatikana ndani ya mipaka ya pori tengefu Loliondo ili kupisha hatua ya kupima upya maeneo hayo...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na...
2 Reactions
2 Replies
619 Views
Bunge ni moto Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Nafasi ya serikali katika kulinda usalama wa wananchi wake ni mdogo sana. Inawezekana, serikali inaongoza kwa namna ambavyo wananchi wake wanataka. Laiti kama wananchi wanahitaji mabadiliko na...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Habari na Tehama Kila baada ya Dakika 30 BBC wanaonesha ndege ya precision air iliyozama Bukoba na kuitolea Maelezo mbalimbali Waziri Nape ingilia Kati tafadhali ili...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa. Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi? Mbona hata huko USA na Ulaya...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Taarifa za Uhakika kutoka kwenye Jopo la Wanasheria wa Chadema, zinaonyesha kwamba mmoja wa mashahidi Muhimu watakaohitajika kutoa ushahidi Kwenye kesi inayokikabili chama hicho dhidi ya Wabunge...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi...
3 Reactions
8 Replies
858 Views
Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia. Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
12 Reactions
81 Replies
11K Views
Mwalimu Nyerere alirithi karibia vitu vyote kutoka kwa mkoloni kwa njia ya kutaifisha ndio sababu viwanda na mashirika havikudumu na havipo tena. Magufuli amejenga miundombinu itakayomtambulisha...
19 Reactions
49 Replies
3K Views
Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Hakuna facts wala data zenye usahihi Kwa ninakiona. From true data is when we can establish facts. Yaaani Everyone is speaking of wrong figure or data. How can we establish facts? Abiria mara...
0 Reactions
13 Replies
834 Views
Vyuma vya ATCL vinapasua anga la kimataifa hadi Uchina na America bila figisu wala " kambi popote" Bunge limeomba sasa ATCL ikabidhiwe ndege hizi kutoka Wakala wa Ndege za Serikali kwa sababu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Ajali ya jana imesababishwa na mazoea, vifo vya jana vimetokana na mazoea. Ule Uwanja hauna Taa za pembeni. Hauna Aproach Tower Uwanja hauna Zima Moto Rubani pale anatua kutokana na uzoefu wake...
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Swalama wandugu Leo report ya CAG imejadiliwa na kufanyika maazimio na kuna haja ya adhabu ya kunyonga wezi wa pesa za umma narudia tena KUNYONGA inasikitisha sana MTU anaiba sehemu A anahamishwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Inasikitisha sana huyu reporter wa BBC yuko LAGOS Nigeria ndiyo ana riport habari ya ajali ya ndege ya Precision air ya Mwanza akiwa lagos. Hivi bbc hawana reporter mwanza au Dar es salaam?
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Ukioanga misafara ta hawa watawala unaweza fikria nchi imekamilika kila nyanja kumbe sio hivyo, Fikiria dhana za uokoaji zenyewe ni mtihani sana, but V8 ni kama zote tena wana brand new kwa sasa...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom