Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha
Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi .
Ewe DOLA, inawezekana...
UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua...
Waziri wa kilimo amesema kuwa acha solo liamue kuhusu Bei ya mazao.Ni sawa kwa maana ya kutaka wakulima wajikwamue.ndiyo maana Leo hii hata vijijini debe moja ya mahindi imefikia 25000 shilling ya...
Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani.
Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania...
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma.
Kairuki...
Wadau,
Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U...
CAG afafanua fedha kutofika elimu bila malipo
=====
Kusuasua kwa utoaji fedha za utekelezaji wa elimu bila malipo kunachangia kukosekana kwa miundombinu ya elimu katika shule za msingi na...
Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
"Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo...
Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa.
Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha...
MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC...
Ndio Ukweliii!
Daraja jipya la Wami,analolitumia Riziwani kumsifia SSH,ni moja ya kumbukumbu kubwa,miongoni mwa nyingine nyingi alizoziasisi hayati Baba JPM.
Wakati SSH akikazana kwenda kukopa...
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani...
Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za...
Kuna mijadala ukikutana nayo unajiuliza kama hawa ndiyo tunawategemea kwenye nafasi mbadala ya uongozi ni bora tubakie kama tulivyo.
Rais amepata mualiko China na taarifa imewekwa wazi wapiga...
Kila siku umeme wanakata na sasa ni masaa manne yamepita toka wakate na hakuna hitilafu yoyote bali ni maelekezo tu ya mtu mmoja.
Anapiga simu na umeme unakatwa na akijisikia anapiga tena simu...
Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na...
Itoshe tu kuwapongeza Wabunge wote kwa kazi nzuri mliyofanya Jumamosi ya leo
Pongezi za pekee zimuendee Spika Tulia
Pongezi za pili zimuendee Dr Ndugulile kwa kumsaidia ushauri wa kitaalamu...
Wote tunajua Luhaga Mpina aliwahi kuwa Waziri wa Jamhuri ya Muungqno wa Tanzania, pamoja na yote watu wengi aliwaumiza kupitia uvuvi kwa kupima samaki wa rula, binafisi mimi ninamsamehe na naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.