Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Pamoja na uchumi wa Dunia kuendelea kukumbana na changamoto za; Mfumuko wa bei Sekta za fedha kuathiriwa Bei za mafuta kuyumba Tanzania [emoji1241] tunashuhudia - mfumuko wa bei kushuka kutoka...
2 Reactions
9 Replies
899 Views
Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio...
35 Reactions
122 Replies
8K Views
Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri. Miradi mingi...
1 Reactions
4 Replies
538 Views
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati...
3 Reactions
104 Replies
14K Views
Itakapofika saa tatu mh rais wa nchi Dr. Jakaya Kikwete atalihutubia taifa. - Mh rais tume inaadikisha watu 6000 kwa siku,serikali itatoa kipaumbele cha fedha kwa tume na nimekisha aagiza hazina...
3 Reactions
113 Replies
15K Views
Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa. Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona nami leo hii nimpe kongole Mh: Samia, Watanzania tumepita kwenye maisha ya mashaka makubwa sana, roho zetu zilikuwa mikononi mwa serikali ya hawamu ya tano, wengi wetu hasa sisi wapinzani...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN. Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha...
1 Reactions
11 Replies
814 Views
Askofu Gwajima, Nimesikiliza mchango wako bungeni ukitetea mkataba wa hao wachina kuwa una manufaa makubwa na kwamba tusipo implement makubaliano tutashtakiwa! Niwe mkweli, baada ya kusikia...
16 Reactions
60 Replies
4K Views
BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matukio katika Picha Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mheshimiwa Majid Hemedi Mwanga ambae sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi akimkabidhi Ofisi Mkuu wa Wilaya (mpya) wa Wilaya ya...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza...
5 Reactions
93 Replies
6K Views
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya...
34 Reactions
112 Replies
9K Views
Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku wameonyeshwa wananchi wakilalamika kuwa uvuvi haramu wa kutumia mabomu umerudi kwa kasi na wananchi kila siku wamekuwa wakiokota samaki wengi...
3 Reactions
5 Replies
802 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , leo amewasili nyumbani kwao , kwenye Boma la Mzee Lissu , Katika Kijiji cha Mahambe , Wilayani Ikungi. Lissu amepokelewa na ndugu zake wakiwemo...
14 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakika nyumbani ni nyumbani na mkataa kwao ni mtumwa. Sisi wana Ikungi tuna mshukuru sana mama Samia kwa kuja na angalau na siasa za kiungwana za kuwakubali wapinzani. Mh mbunge halali wa Ikungi...
16 Reactions
68 Replies
4K Views
Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa...
15 Reactions
147 Replies
17K Views
Back
Top Bottom