Maghorofa ya Magomeni Kota hayana Viwango?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,556
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
IMG_20220417_153432.jpg

☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

IMG_20220417_154728.jpg

☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

IMG_20220730_214248.jpg

☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
 
SASA BROTHER, HIYO CRACK YA FLOOR TATIZO TANGIA MWANZO WA UJENZI NA SIO FINISHING?.
MAREHEMU ALIKUWA HAI KWENYE HIZO STAGE ZOTE ZA MWANZO KUANZIA STRUCTURE NAFIKIRI ALIONDOKA IKIWA IMEBAKIA SEHEMU NDOGO SANA.
HAYA NI MADHARA YA KUHARAKISHA MAMBO YA KITAALUM NA KUFORCE BUDGET NDOGO IFANYE KAZI.
 
Fact Kabisa Mkuu hizo Flow tangu Jpm akiwepo zimejengwa Mama kamalizia vitu vidogo Sana.
 
Anashangaa majengo yaliyojengwa awamu ya 5!

Shangaa pia barabara zilizojengwa awamu ya 5 zinavyoharibika mapema wakati kuna barabara zilijengwa awamu za nyuma bado ziko imara. Mfano barabara ya Chalinze - Morogoro ilijengwa awamu ya 3 lakini mpaka leo bado ni imara.
 
Anashangaa majengo yaliyojengwa awamu ya 5!

Shangaa pia barabara zilizojengwa awamu ya 5 zinavyoharibika mapema wakati kuna barabara zilijengwa awamu za nyuma bado ziko imara. Mfano barabara ya Chalinze - Morogoro ilijengwa aaamu ya 3 lakini mpaka leo bado ni imara.
Zitaje na hizo nyingine kama ulivyoitaja chalinze-morogoro.
 
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

View attachment 2309207

☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulupewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Zama za Mwamba wa Sukuma gang ungeshakuwa umetekwa zamani sana yaani saizi ndugu zako wangeenda Baharini kutafuta vifurushi vipya 🤣🤣..

Unamdhalilisha Mwamba.
 
Fact Kabisa Mkuu hizo Flow tangu Jpm akiwepo zimejengwa Mama kamalizia vitu vidogo Sana.
Kama ni hivyo ...nini kifanyike si walio jenga wapo ...sisi hatutaki kekele mainjinia na kampuni zilizo jenga zipo sasa kinamshinda nini SA100 kutoa comandi wakamatwe na kusekwa ndani hadi uchunguzi ufanyike ...kisha wapewe agizo la kuvunja na kujenga upya kwa gharama zao
 
Kama ni hivyo ...nini kifanyike si walip jenga wapo ...sisi hatutaki kekele mainjinia na kampuni zilizo jenga zipo sasa kinamshinda nini SA100 kutoa comandi wakamatwe na kusekwa ndani hadi uchunguzi ufanyike ...kisha wapewe agizo la kuvunja na kujenga upya kwa gharama zao

Mama sio Mjinga Kama unavyofikilia
 
Majengo yalijengwa kwa haraka/kulipua.Vifaa kama saruji ijengwapo inahitaji muda wa kumwagiwa maji na iachiwe muda kuimarika.Vilevile mbao zinahitaji ikauke vizuri,kuwekwa vipimo sahihi na ufundi mzuri ili kutoa matokeo mazuri.Hapo ulifanyika ulipuaji,malipo hafifu na pupa ili kumfurahisha mtu mmoja.Leo hii ukimuangushia lawama fundi unaonekana kapuuzi tu.Tujifunze kuheshimu taaluma za watu na kutoendesha mambo kwa mizaha.
 
SASA BROTHER, HIYO CRACK YA FLOOR TATIZO TANGIA MWANZO WA UJENZI NA SIO FINISHING?.

MAREHEMU ALIKUWA HAI KWENYE HIZO STAGE ZOTE ZA MWANZO KUANZIA STRUCTURE NAFIKIRI ALIONDOKA IKIWA IMEBAKIA SEHEMU NDOGO SANA.

HAYA NI MADHARA YA KUHARAKISHA MAMBO YA KITAALUM NA KUFORCE BUDGET NDOGO IFANYE KAZI.
Marehemu alitaka ipigwe tiles. Walioachiwa wakaona isiwe shida. Wakapiga cement. Mchanga mwingi cement kidogo. Sie tuliyajua hayo.
 
Anashangaa majengo yaliyojengwa awamu ya 5!

Shangaa pia barabara zilizojengwa awamu ya 5 zinavyoharibika mapema wakati kuna barabara zilijengwa awamu za nyuma bado ziko imara. Mfano barabara ya Chalinze - Morogoro ilijengwa aaamu ya 3 lakini mpaka leo bado ni imara.
Tupe mfano wa barabara ya awamu ya 5
 
Marehemu alitaka ipigwe tiles. Walioachiwa wakaona isiwe shida. Wakapiga cement. Mchanga mwingi cement kidogo. Sie tuliyajua hayo.
Awamu ya sita imejaa maajabu.
 
Back
Top Bottom