Mnaomtetea mwendazake kwanini aliruhusu fedha za plea bargain zilipwe fedha taslimu na sio kwa control number?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN.

Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha FEDHA za kulipa.

FEDHA hizo zilikuwa Zinapelekwa TASLIMU . Baada ya MALIPO hayo Watuhumiwa Walikuwa wanapatiwa STAKABADHI yenye kuonyesha Kiwango cha Fedha kilicholipwa na Kupokelewa.

Mwaka 2016 SERIKALI ilianzisha Utaratibu wa MALIPO ya SERIKALI kulipwa kwa CONTROL NUMBER badala ya FEDHA TASLIMU

SWALI LA KUJIULIZA
Kwanini MALIPO ya FEDHA za PLEA BARGAIN hayakulipwa kwa kutumia CONTROL NUMBER?
Nani Aliruhusu Zilipwe FEDHA TASLIMU?
Kwanini VIONGOZI walikaa Kimya juu ya Malipo hayo?

Tunaposema PLEA BARGAIN ulikuwa ni MPANGO wa WIZI ni pamoja na Wahusika kukataa kutumia CONTROL NUMBER na kutumia FEDHA TASLIMU ili KUFANIKISHA WIZI wao kwani Wangetumia CINTROL NUMBER ingewawia VIGUMU kuzitoa na Kuzihamisha.

kumbushodawson_1675231123517421.jpg
kumbushodawson_1675231123517994.jpg
JamiiForums463003692.jpg
 
Tofauti kati ya escrow na plea bargain(sijui nipo sawa na spelling) ni ipi kwenye hii style ya ukwapuaji?
 
Watanzania amkeni amkeni kumekucha, Walamba asali wanataka kutumia plea bargain kuwapiga, mkiendelea kuwachekelea watawapigeni kwelikweli
 
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN.

Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha FEDHA za kulipa.

FEDHA hizo zilikuwa Zinapelekwa TASLIMU . Baada ya MALIPO hayo Watuhumiwa Walikuwa wanapatiwa STAKABADHI yenye kuonyesha Kiwango cha Fedha kilicholipwa na Kupokelewa.

Mwaka 2016 SERIKALI ilianzisha Utaratibu wa MALIPO ya SERIKALI kulipwa kwa CONTROL NUMBER badala ya FEDHA TASLIMU

SWALI LA KUJIULIZA
Kwanini MALIPO ya FEDHA za PLEA BARGAIN hayakulipwa kwa kutumia CONTROL NUMBER?
Nani Aliruhusu Zilipwe FEDHA TASLIMU?
Kwanini VIONGOZI walikaa Kimya juu ya Malipo hayo?

Tunaposema PLEA BARGAIN ulikuwa ni MPANGO wa WIZI ni pamoja na Wahusika kukataa kutumia CONTROL NUMBER na kutumia FEDHA TASLIMU ili KUFANIKISHA WIZI wao kwani Wangetumia CINTROL NUMBER ingewawia VIGUMU kuzitoa na Kuzihamisha.

View attachment 2508408View attachment 2508409View attachment 2508411
Magufuli alikuwa jambazi fulani aliyejichagulia wa kwao aibe raslimali za nchi kuwakabithi. Hivi ni nani alizipeleka china na kwanini? Hivi kwanini nisiamini kuwa alihamishia dhahabu kibao rwanda? Hili jambazi nisisikie mtu analiita mzalendo tena! Magufuli alikuwa jambazi muuaji! full stop!
 
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN.

Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha FEDHA za kulipa.

FEDHA hizo zilikuwa Zinapelekwa TASLIMU . Baada ya MALIPO hayo Watuhumiwa Walikuwa wanapatiwa STAKABADHI yenye kuonyesha Kiwango cha Fedha kilicholipwa na Kupokelewa.

Mwaka 2016 SERIKALI ilianzisha Utaratibu wa MALIPO ya SERIKALI kulipwa kwa CONTROL NUMBER badala ya FEDHA TASLIMU

SWALI LA KUJIULIZA
Kwanini MALIPO ya FEDHA za PLEA BARGAIN hayakulipwa kwa kutumia CONTROL NUMBER?
Nani Aliruhusu Zilipwe FEDHA TASLIMU?
Kwanini VIONGOZI walikaa Kimya juu ya Malipo hayo?

Tunaposema PLEA BARGAIN ulikuwa ni MPANGO wa WIZI ni pamoja na Wahusika kukataa kutumia CONTROL NUMBER na kutumia FEDHA TASLIMU ili KUFANIKISHA WIZI wao kwani Wangetumia CINTROL NUMBER ingewawia VIGUMU kuzitoa na Kuzihamisha.

View attachment 2508408View attachment 2508409View attachment 2508411
Na ushahidi upo wapelekwe Mahakamani !!
 
Watanzania amkeni amkeni kumekucha, Walamba asali wanataka kutumia plea bargain kuwapiga, mkiendelea kuwachekelea watawapigeni kwelikweli
watanzania wapigwe mara ngapi? Tumeshapigwa na Magu akiwa na kundi lake. Eti mtetezi wa wanyonge angalia hela ilivyokusanywa kwenye visanduku, siyo dola siyo pesa za kitanzania. Tuambieni hayo maburungutu yaliwekwa kwenye akaunti ipi? Na kwanini pesa itolewe kwanza benki badala ya kufanya money transfer kutoka akaunti wa wahusika kwenda akaunti ya serikali inayojulikana. Magu alikuwa jambazi na amefedhehesha pesa zetu.
 
Sasa wangelipa kwa control number wangeibaje? Imagine watu wanapokea maburungutu ya fedha eti za umma kwa kulipwa cash na kutoa zile STK aise jamaa lilikua linaiba kizamani sana.
 
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN.

Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha FEDHA za kulipa.

FEDHA hizo zilikuwa Zinapelekwa TASLIMU . Baada ya MALIPO hayo Watuhumiwa Walikuwa wanapatiwa STAKABADHI yenye kuonyesha Kiwango cha Fedha kilicholipwa na Kupokelewa.

Mwaka 2016 SERIKALI ilianzisha Utaratibu wa MALIPO ya SERIKALI kulipwa kwa CONTROL NUMBER badala ya FEDHA TASLIMU

SWALI LA KUJIULIZA
Kwanini MALIPO ya FEDHA za PLEA BARGAIN hayakulipwa kwa kutumia CONTROL NUMBER?
Nani Aliruhusu Zilipwe FEDHA TASLIMU?
Kwanini VIONGOZI walikaa Kimya juu ya Malipo hayo?

Tunaposema PLEA BARGAIN ulikuwa ni MPANGO wa WIZI ni pamoja na Wahusika kukataa kutumia CONTROL NUMBER na kutumia FEDHA TASLIMU ili KUFANIKISHA WIZI wao kwani Wangetumia CINTROL NUMBER ingewawia VIGUMU kuzitoa na Kuzihamisha.

View attachment 2508408View attachment 2508409View attachment 2508411
Heri Magufuli ana akili sana.Alianzisha control number.Kwa hiyo malipo yote ya Zamani ,wakati wa Kikwete ,Mkapa na Nyerere hayakuwa na control number.Basi Tulikuwa tunspigwa.
 
watanzania wapigwe mara ngapi? Tumeshapigwa na Magu akiwa na kundi lake. Eti mtetezi wa wanyonge angalia hela ilivyokusanywa kwenye visanduku, siyo dola siyo pesa za kitanzania. Tuambieni hayo maburungutu yaliwekwa kwenye akaunti ipi? Na kwanini pesa itolewe kwanza benki badala ya kufanya money transfer kutoka akaunti wa wahusika kwenda akaunti ya serikali inayojulikana. Magu alikuwa jambazi na amefedhehesha pesa zetu.
Mahakamani ndio mpango mzima !
 
Mbona mkiambiwa Magufuli alipanga kumpiga risasi Tundu lissu mnapinga?Mbona mkiambiwa Magufuli alifungua Akaunti China mnapinga wakati anaweza kufanya chochote
Wenye hawa pamoja na kwamba wote kijani, LAKINI wamegawanyika. Kuna ambao wamezinduka usingizini na kupata fahamu kwamba jiwe naye alikuwa mdokozi. Na kuna kundi lingine, hilo bado linamwona jiwe alikuwa malaika mkuu, Mtakatifu, nabii, nk nk. Hawa hawataki hata kidogo kuskia habari mauzauza ya jiwe. Wapo tayari kumtetea kwa gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom