Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antipas Lissu amesema kama kweli Polisi wanamtaka Dereva wake kwa ajili ya ushahidi njia ya kumpata ni rahisi sana.
Adam (Dereva) anaishi Ubelgiji na...
Magufuli ndiye aliyeanzisha Mfumo wa control number mwaka 2016 kwa ajili ya kupokea malipo yote yà Serikali kuanzia Tsh 1/- hadi Matrillion.
Kwenye plea bargain ya mchongo waliamua kupokea hard...
Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu...
Kwetu sisi wana mbeya ushirikina ni usheitwani.
Kamwe hatuwezi kukubali vitendo vya kishirikina daima dumu kwenye watu wenye ustaarabu.
Dada yetu aliyeleta ushirikina hapa nyumbani kwetu mbeya...
Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye...
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma...
Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje.
Jambo hilo ni hatari...
Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema;
Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye...
Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi...
Mbunge wa Geita Vijijini Msukuma amesema alifuatilia hoja ya Mfumuko wa Bei ikijadiliwa Bungeni akiwa safarini Marekani na alichukizwa sana na majibu ya Waziri Mwigullu Nchemba.
Musukuma anasema...
Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa.
Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema kwa sasa Tanzania ina maadui Wakuu wawili Katiba ya 1977 na CCM
Hivyo Mnyika amewaomba wananchi wajidhatiti kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana na...
Hoja zenye nguvu ndio sifa na tabia iliyotuvutia wengi wetu kujiunga CHADEMA, wengi tuliijenga CHADEMA katika Taasisi za Elimu ya Juu tukitegemea kupanda mbengu za mabadiliko. Harakati na kujitoa...
Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa...
Ni tafakari tu
Kwamba kuku wa kwako mwenyewe jioni anarudi bandani kwanini utumie nguvu kubwa kumkimbiza mchana kama unataka kumchinja?
Si unamsubiria akishaingia bandani
Sidhani kama...
Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho.
Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana...
Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe...
Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa ambayo tumeamua kushare nawe, ni kwamba baada ya ule mkutano mkubwa wa Hadhara uliohutubiwa na Tundu Lissu pale Ikungi, Vijana wa Bavicha hawakulala, wameamua...
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa;
Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.