Uvuvi wa kutumia mabomu warudi kwa kasi, je mamlaka wameshindwa wajibu wao?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku wameonyeshwa wananchi wakilalamika kuwa uvuvi haramu wa kutumia mabomu umerudi kwa kasi na wananchi kila siku wamekuwa wakiokota samaki wengi waliokufa kwa mabomu.

Swali la Kipima Joto la ITV linahoji je, kurudi kwa uvivu haramu wa kutumia mabomu viongozi wenye mamlaka wameshindwa wajibu wao?
 
Utawala wa wahuni huu ni mwendo wa upigaji kwenda mbele,mamlaka zishafeli.
 
Back
Top Bottom