Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Matukio katika Picha
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mheshimiwa Majid Hemedi Mwanga ambae sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi akimkabidhi Ofisi Mkuu wa Wilaya (mpya) wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka. Leo Jumatatu Februari 6, 2022.