Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Hakika nyumbani ni nyumbani na mkataa kwao ni mtumwa.
Sisi wana Ikungi tuna mshukuru sana mama Samia kwa kuja na angalau na siasa za kiungwana za kuwakubali wapinzani.
Mh mbunge halali wa Ikungi hatimaye tumempokea mara baada ya kunusurika na kifo cha kupangwa kutoka kwa kiongozi muoga wa kupingwa.
Eweee Moooolaaaa utaendelea kuabudiwa daima dumu na wana Ikungi na dunia kwa pamoja.