Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tundu Lisu anasema baada ya kupigwa risasi Mdada wake wa Kazi Amina alishuka chini na Kuanza kupiga mayowe Kisha Dereva naye akaibuka maana alijificha kukwepa Risasi na wakamwita Rehema Mdada wa...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa. SWALI: Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Huu ndio Ukwelik wamba Mwenyekiti wa CCM ndiye Mdhibiti Mkuu wa Siasa nchini. Na ndio sababu Rais wa JMT akishachaguliwa faster anapewa Uenyekiti wa Chama lakini Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa...
1 Reactions
4 Replies
632 Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde , kwamba yule Jamaa ambaye kwa sasa anatikisa nchi mithili ya Tetemeko la Uturuki, leo saa 3 usiku kwenye kipindi cha DK 45 cha ITV atahojiwa. Kwa...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Na Mwl Udadis, SINGIDA Wakati mfumuko wa bei katika mataifa mengi ndani na nje ya Afrika ukiendelea kushika kasi, nchini Tanzania mfumuko wa bei wa Taifa mpaka Mwezi Desemba 2022 ulipungua na...
0 Reactions
7 Replies
610 Views
Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na...
0 Reactions
6 Replies
686 Views
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida. Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya...
24 Reactions
73 Replies
3K Views
Salaam, Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu. Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo...
0 Reactions
6 Replies
681 Views
Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama siyo kuchekesha basi mnasikitisha, kama wote mnalalamika nani ana wajibu wa kutatua? Wapinzani wanalalamikia kupanda kwa gharama za Maisha watawala wanalalamikia hilo hilo nani ana wajibu...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Serikali ya Tanzania ina Matumizi ya anasa ya kodi za wananchi. Amesema kwa mfano Ubelgiji Msafara wa Mkuu wa Nchi ambaye ni Waziri Mkuu una...
42 Reactions
176 Replies
9K Views
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja. Pamoja...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about...
21 Reactions
161 Replies
10K Views
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa...
3 Reactions
8 Replies
897 Views
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Pamoja na uchumi wa Dunia kuendelea kukumbana na changamoto za; Mfumuko wa bei Sekta za fedha kuathiriwa Bei za mafuta kuyumba Tanzania [emoji1241] tunashuhudia - mfumuko wa bei kushuka kutoka...
2 Reactions
9 Replies
899 Views
Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio...
35 Reactions
122 Replies
8K Views
Back
Top Bottom