MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Askofu Gwajima,
Nimesikiliza mchango wako bungeni ukitetea mkataba wa hao wachina kuwa una manufaa makubwa na kwamba tusipo implement makubaliano tutashtakiwa!
Niwe mkweli, baada ya kusikia michango ya wabunge wengine nimekuwa very disappointed na Askofu Gwajima! Mkataba wa miaka mia moja, malighafi ya kwetu, mwekezaji aweke around 20% ya gharama za mradi na 80% iliyobaki tusaidiane kukopa halafu baadae adai more incentive na pia tumpe share 80%? Seriously unasimama kutetea?
Umetuvua nguo tuliobaki na imani kwako Askofu! Mradi wa Liganga kama mkataba ndio huo ni aibu kutokea mtu kuutetea! Mbunge wa Simanjiro ametuhumu hadi hao unaotetea hiyo kamati kuwa na weledi kuwa hata ufadhili wa ku visit au kufanya due diligence juu ya huyo mbia walifadhiliwa na mhusika! Unfortunately ukaendelea kukaza shingo kutetea maslahi ya huo mkataba!
Najisikia vibaya hilo kutokea kwa mtu aina ya Askofu Gwajima , Mungu atusaidie kama Taifa
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app