Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 6, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 5
VITAMBULISHO VYA NIDA NI ASILIMIA 68 TU
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama...
Barabara hii ndiyo ielekeayo kwenye Mgodi mkubwa kabisa wa Bhulyankhulu wa madini ya dhahabu ajabu ni tope, vumbi na chafu isiyoelezeka!
Umbali wenyewe si zaidi hata ya kilomita 80 ajabu CCM...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa;
"Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea...
Habari .
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali yao kwa sababu watendaji wake...
Tulisema Ila wanachadema wenye mihemko wakaishia kututukana. Na wengine wakasema protocal hairuhusu.
Gazeti la mwananchi limemnukuu Lissu akihoji alipo Mbowe, Lissu amehoji sababu za Mbowe...
Ndugu zangu watanzania,
Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu atapanda jukwaani huko Ikungi, Mkoani Singida tarehe 5/2/2023.
Hii ni katika muendelezo wa mikutano ya hadhara iliyozinduliwa Mwanza, huku...
02 February 2023
Tunduma, Tanzania
CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI
Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya...
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo...
Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega.
Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi...
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu...
Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania.
Ona...
Kuna ile kandarasi ya mfumo wa usimamizi wa uongozi ya wahindi tanesco ingefaa sasa isimamishwe.
Januari makamba alipopewa uwaziri moja ya mambo ya ubadhirifu wa fedha za umma ni kuipa kampuni ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Mgeni Rasmi Ufunguzi wa Kairuki Green IVF kesho tarehe 06 Februari 2023 kuanzia saa 2:30 asubuhi, Kairuki Hospitali...
Jumatano, Jan 25, 2023.
Shinyanga mjini, Shinyanga.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea...
Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu anazidi kuchukua hatua kubwa ili kulipeleka taifa la Tanzania katika mustakabali mwema. Samia Suluhu ameelekeza nguvu zake katika kuendeleza ajenda za maendeleo...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali...
Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria.
CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha.
CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.