Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.
Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.
Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua kituo cha kisasa cha afya cha Kairuki Green IVF.
Leo tarehe 06 Februari 2023. Dar es Salaam.
Habari wanajamvi,
Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na...
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei.
What is Belgium's current...
Nikimsikiliza Tundu Lissu, akiongea na ndugu zake wananchi wa Ikungi huko kwao Singida ameelezea tukio la kutaka kuuawa na dikteta yule.
Ameelezea watu wema tena walio karibu na mtu yule...
Kudos Watanzania..
Tanzania imetajwa kwenye Orodha ya Nchi 100 zenye wanasayansi Bora ambao machapisho Yao yamekuwa yenye manufaa Dunia.
Kwa Mujibu wa Taasisi inayochapisha tafiti za kisayansi...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za Tume ya Uchaguzi utagundua hakuna Mbunge wa Kuchaguliwa kule Bungeni
Lisu anasema wakati wa Uchaguzi Mkuu NEC...
Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter.
"Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza...
Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM.
Nilidhani kwenye...
N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara.
Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni...
Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha...
Wadau nauliza Ni kosa gani walilolifanya Madaktari wa Hospital ya Korogwe mpaka kusimamishwa kazi na Mkuu wa Mkoa?
Binafsi naamini Ajali ya Barabarani inapotokea Wanaostahili kuwa wa kwanza...
Mkutano wa ccm hapa Ikungi umevurugika baada ya wana CCM kuamua kuukacha na kuelekea uliko mkutano wa mhe Lissu. Mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa ccm [emoji28][emoji28][emoji28] picha hiyo hapo...
Anaandika Almalik Mokiwa
Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM)
Waliohudhuria...
Hii ni kauli ya Lissu Antipasi Tundu!
Akiongea na Clouds 360 television kule Tegeta, Jijini Dar es salaam nyumbani kwake.
..."Kwa sheria za Ubelgiji, mimi ninatambulika kama mlemavu, hivyo hata...
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani...
imetoa funzo kuwa Waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la Spika kujiuzulu kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si BBC, Deutsche Welle...
Wakuu mnakaribishwa kwenye mkutano Mkubwa sana wa Hadhara unaofanyika Wilayani Ikungi , Mkutano huo kabambe utahutubiwa na Vigogo wa Chadema, wakiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu.
Baadhi ya...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 6, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 5
VITAMBULISHO VYA NIDA NI ASILIMIA 68 TU
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.