Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia...
Kwema Wakuu?
Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa.
Kila mmoja anazungumzia issue za...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana Kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.)...
Sidhani kama Prof. Kitila Mkumbo kuna kitu chochote amefanya tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji zaidi ya kuhutubia Mikutano ya CCM kuhusu Bandari huku akiwa amevalia sare za chama...
Mzee Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka vyama vya upinzani nchini kuwa waungwana na wenye shukrani kwani Rais Samia amefanya mambo mengi mazuri...
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi.
Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani.
Kwa sasa dunia ni kijiji...
Wanajamii nawasalimu.
Kumekuwa na Maridhiano baina ya vyama vikubwa Nchini yaani CCM na CHADEMA. Msingi wa Maridhiano hayo ni mambo yaliyojitokeza wakati wa utawala katili wa awamu ya 5 chini ya...
Nyimbo zina ushawishi mkubwa na huu utampinga fisadi kama Kabanga alivyompinga mkoloni.
Banda wa Malawi alipotaka kumega ziwa Nyasa tulimkemea kwa wimbo akaachana na tamaa zake.
Tuliimba Banda...
Kichwa cha mada kinajielezea.
Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity].
Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa.
Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku.
Rais Samia...
1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...!
2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia...
Kila Mtanzania alimsikia Hayati Magufuli katika hotuba zake nyingi akisema "nimetoa sadaka Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge" lakini pia alieleza kilichowapata Marais wa Afrika...
DC JOKATE AWATAKA WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA KUACHA MARA MOJA - KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara wanaoficha mafuta Wilayani Korogwe...
Kwanza, kijana uliyeing'ang'ania CCM kwangu mimi nakuona ndiyo mjinga wa kwanza nchini na unapaswa kuwajibika kwa kila machozi ya walalahoi wote nchini na mateso yote nchi inayoyapitia!
Unakuwa...
Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili...
Tundu Lissu karibu Bongo.
Nchi hii imeundwa, na walioiunda wengi wametangulia mbele za haki. Lakini sera, misimamo na misingi yao ya haki na maendeleo kiuchumi, kijamii kwa ujumla mustakabali...
Hawa watu mmoja ni mwanahabari mwingne ni mwanauchumi
Ulimwengu toka samia aingie madarakani amejificha
Hataki hata kuwa karibu na media hata gazeti lake limegeuka gazeti la ccm kumsifia samia...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani akiwa na viongozi mbalimbali na wananchi wamejitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru leo 30 Julai, 2023 katika viwanja vya Kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.