Ukija uchaguzi wa Uhuru na Haki mwaka 2025 kiongozi wetu kupata ushindi ni ngumu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Ukija uchaguzi wa uhuru na haki mwaka 2025 nawaambia huyo kiongozi wetu kupata ushindi hata wa asilimia 20 sidhani.

Tatizo lake hasomi alama za nyakati nchi inanuka ufisadi kila mahali gharama za maisha zinapanda na hachukui hatua

Tuna la kusema kwamba nasi tunaye mtu kwenye kampuni? Hamna kitu pale tumepigwa

Hana uwezo kabisa mpaka nina wasiwasi na elimu yake uwezo wake ni mdogo sana na nyazfa zote ktk kampuni kwa huku na kule kisiwani alikua anabebwa tu.

Sijawahi kuona mtu mwenye uwezo mdogo kama huyu mpaka najiuliza alitokea wapi huyu?

Elimu yake ina mashaka makubwa
Asili yake baba naye hajulikani hadi leo

Tuna bahati mbaya sana
.
.

Hivi Samia ni nani hasa asikosolewe?Kwa lipi hasa?Mtu mwenyewe hata uwezo wa kuongoza hana, hana sifa za urais kile kiti kinampwaya walikosolewa kina Magu,mkapa na Jk seuze yeye?

Kwani kaliletea taifa maajabu gani hasa?Kaleta chepi cha maana hataa asikosolewe?

Kusaini mikataba ya hovyo tu na kuuza rasilimali za Tanganyika huku akitafuta huruma ya umama na uzanzibar ndo tutamuacha?

Moto kajiwashia mwenyewe, anacheza na rasilimali za Tanganyika halafu anataka tumchekee tu, hilo haliwezekani na halitowezekana

Mpeni taarifa kabisa na wachawa wake fikisheni huu ujumbe "Moto tuliomuwashia mtangulizi wake na yeye tutamuwashia huo huo akiendelea kucheza na rasilimali za Watanganyika"....

Hakuna la maana kafanya hadi sasa watu wamemchoka vibaya mno, hana sifa za urais, hana hata "swagg" za urais yupo yupo tu kazi ni kuzurura tu kwenda Oman na Uarabuni, chezea vyote sio kucheza na rasilimali za Tanganyika, kachezee za Wanzanzibar wenzio

Na hili la bandari hautoweza kututoa nje ya reli!!Natamani hata umalize hicho kiporo chako cha urithi ulichoachiwa na mwendazake hata leo

Mwambieni huyo mama enu kuwa hana uwezo hata wa kuongoza kijijini kwao!!Urais umempwaya hawezi kitu

Magufuli tulimuwashia moto hatukujali ukatoliki wake, kikwete tulimuwashia moto hatukujali uislam wake, sasa wewe jifiche kwenye umama,na uzanzibar wako ili tukuonee huruma hakika hatutokuonea haya ukifanya mambo ya kuuza Tanganyika yetu

Moto ndo umeanza hatutokubakisha hata nusu!!
 
Taifa linapigwa laana kutokana na kuvunja miiko ya natural,tujiulize hata aibu hana kelele zote hizi?uongozi ni pamoja na kuwa na hekima ya kurudi nyuma pale jambo uliloamua (japo kwa upeo wako uliona ni zuri) linapokataliwa kutokana na kutokueleweka na wale unaowaongoza.

Huyu kwa sababu ya jinsia yake imezoea kubishana akiambiwa anaona anadharaulika sababu ya uanamke wake,mwanamke hakuumbiwa uwezo wa kuongoza watu uwezo wake aliopewa ni kuwaongoza watoto tena aliowatoa kiunoni mwake nje ya hapo anavurunda, ukitaka kuamini haya mtafute leo mtoto chini ya 15yrz anayelelewa ktk familia na mama tofauti na aliyemzaa akichanganyika na wanae then angalia namna zao za kuenenda kitabia kimasomo etc utagundua tofauti zilizopo.
 
Ukija uchaguzi wa uhuru na haki mwaka 2025 nawaambia huyo kiongozi wetu kupata ushindi hata wa asilimia 20 sidhani.

Tatizo lake hasomi alama za nyakati nchi inanuka ufisadi kila mahali gharama za maisha zinapanda na hachukui hatua...
Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa hivi aliye madarakani anaamua idadi ya kura atakazo. Ongelea namna nyingine ya kumtoa madarakani, sio hiyo ya kura.
 
Kuna ujumbe wako huku😁

IMG_20230726_190344.png
 
Back
Top Bottom