Mikutano ya Lissu inaonyesha Mpasuko wa CHADEMA

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Kuna tofauti kubwa sana kati majukwaa anayotumia Lissu na Mbowe je kuna ubaguzi….? Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama lakini mikutano yake imekuwa haiandaliwi kwa hadhi pengine kukosa watu kabisa.

Chadema kuna Mgogoro wa ndani kwa ndani huenda wenyewe wanamcheka tazama picha za majukwaa ya Lissu ni uthibitisho tosha wamemtenga aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Urais 2020.

Siku ya Jana Lissu alifika Ilola Ngula mkutano wake ulikosa watu kabisa kiasi cha kumfanya ageuze na kuelekea sehemu nyingine kutafuta watu kifupi amekuwa kama ana tangatanga asijue anaelekea wapi kufanya mikutano.

IMG_8569.jpg

IMG_8592.jpg

dc7f2663-4fb4-4500-8739-cc9f84a9b258.jpg
 
Kuna tofauti kubwa sana kati majukwaa anayotumia Lissu na Mbowe je kuna ubaguzi….? Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama lakini mikutano yake imekuwa haiandaliwi kwa hadhi pengine kukosa watu kabisa.

Chadema kuna Mgogoro wa ndani kwa ndani huenda wenyewe wanamcheka tazama picha za majukwaa ya Lissu ni uthibitisho tosha wamemtenga aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Urais 2020.

Siku ya Jana Lissu alifika Ilola Ngula mkutano wake ulikosa watu kabisa kiasi cha kumfanya ageuze na kuelekea sehemu nyingine kutafuta watu kifupi amekuwa kama ana tangatanga asijue anaelekea wapi kufanya mikutano.

View attachment 2706145
View attachment 2706146
View attachment 2706148
Unaweweseka ukiwa wapi?
 
Mlipoambiwa hamna uwezo wa kupambana Kwa hoja mkamdanganya Samia eti UV CCM mna uzoefu. Sasa mmebaki kuwayawaya tu.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati majukwaa anayotumia Lissu na Mbowe je kuna ubaguzi….? Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama lakini mikutano yake imekuwa haiandaliwi kwa hadhi pengine kukosa watu kabisa.

Chadema kuna Mgogoro wa ndani kwa ndani huenda wenyewe wanamcheka tazama picha za majukwaa ya Lissu ni uthibitisho tosha wamemtenga aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Urais 2020.

Siku ya Jana Lissu alifika Ilola Ngula mkutano wake ulikosa watu kabisa kiasi cha kumfanya ageuze na kuelekea sehemu nyingine kutafuta watu kifupi amekuwa kama ana tangatanga asijue anaelekea wapi kufanya mikutano.

View attachment 2706145
View attachment 2706146
View attachment 2706148

Hii aibu wameamua kumuachia Lissu Kwanini mbowe asiwe anatumia majukwaa haya ya hovyo maana Lissu ni special group.
 
Back
Top Bottom