Kama unataka kusifiwa tu, achana na siasa

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,250
113,636
Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa.

Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine vyovyote waonavyo ni sawa.

Kwenye demokrasia watu wote hawapaswi kufikiri na kuzielezea fikra zao kwa namna moja.

Hivyo basi, kama huwezi kustahimili maoni ya watu juu ya utendaji wako wa kazi, yawe ni maoni ya kukusifia au kukukosoa, [1] usigombee nafasi yoyote ile ya kisiasa na [2] kama wewe tayari ni kiongozi wa kuchaguliwa, basi acha kazi ili uendelee na maisha yako binafsi kwa amani na utulivu.

Tulimsema Rais Magufuli na wapambe wake alipokuwa hai na sasa tutamsema Rais Samia.

Rejea hili bandiko langu toka 2017.

Naungana na wote wanaomsema Rais Samia, akiwemo Wakili Mwabukusi.

Narudia tena kusema kuwa, hii ni Tanzania na siyo Korea Kaskazini.

Wapambe wa Samia kama hamtaki mama yenu asemwe, mwambieni aache kazi. Kama hawezi kuacha kazi, basi atende vyema kwenye kazi zake.

Zaidi ya hapo, ni mwendokasi wa kumsema tu.

All gas no brakes. Gun barrel straight.
 
Hata ukiona gari linakimbia Sana sio Bure
Likifika kwenye mteremko Kuna jino lagia linaingia kulipunguza Kasi kupunguza mwendo

Hiyo ndiyo kanuni

Hakuna kitu Cha Mserereko Duniani ilisha andikwa
 
Tatizo lako hupo ulaya uwezi kujua mateso wanayopata nchini.
Ukiandika kitu au kusema fikiria mara mbili.Hayo tumeyaona kwa chriss lukosi yule muuza ma used alitutukana na kutukebei sababu anaishi wingereza na familia hipo wingereza.
Msanii roma anaimba ukweli yupo USA angaweza kuimba mpaka sasa tz kama magu yupo tungeshazika.
Mda huu USA giza lishaingia kunywa bia tuache tupigane na nchi ukifika ushangae
 
CCM wanataka wasifiwe hata kwa kufanya miradi ambayo haijakamilika na kila mtu anajua hela zimeibiwa.
Sasa hivi Kuna uhaba wa mafuta, CCM wanataka wasifiwe kwa ukosefu wa mafuta, wasifiwe kwa mkataba mbovu wa bandari, wasifiwe kwa kumteua wasira na kinana.
 
Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa.

Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine vyovyote waonavyo ni sawa.

Kwenye demokrasia watu wote hawapaswi kufikiri na kuzielezea fikra zao kwa namna moja.

Hivyo basi, kama huwezi kustahimili maoni ya watu juu ya utendaji wako wa kazi, yawe ni maoni ya kukusifia au kukukosoa, [1] usigombee nafasi yoyote ile ya kisiasa na [2] kama wewe tayari ni kiongozi wa kuchaguliwa, basi acha kazi ili uendelee na maisha yako binafsi kwa amani na utulivu.

Tulimsema Rais Magufuli na wapambe wake alipokuwa hai na sasa tutamsema Rais Samia.

Rejea hili bandiko langu toka 2017.

Naungana na wote wanaomsema Rais Samia, akiwemo Wakili Mwabukusi.

Narudia tena kusema kuwa, hii ni Tanzania na siyo Korea Kaskazini.

Wapambe wa Samia kama hamtaki mama yenu asemwe, mwambieni aache kazi. Kama hawezi kuacha kazi, basi atende vyema kwenye kazi zake.

Zaidi ya hapo, ni mwendokasi wa kumsema tu.

All gas no brakes. Gun barrel straight.
Nasimama na baboon!!
 
Tunaompenda tutamsema sana!!!

Spana ziendelee, Ili Mwananchi maskini angalau apate uhakika wa mlo mmoja.
 
Waliopo awamu hii wengi ni wale walikua wanamsema magufuli.

Sasa nadhani unajua ile kanuni ya mkuki kwa nguruwe jinsi inavyokua na maumivu katika utekelezaji wake.
 
Kwenye siasa za kidemokrasia, kuongelewa vibaya ni jambo la kawaida sana. Ni jambo la kutegemewa.

Kama kuna ambao hawaridhishwi na utendaji wako wa kazi, basi watu hao wana haki zote za kukuzungumzia vile wapendavyo, ikiwemo kukudhihaki, kukutukana, kukucheka, kukuzudoa na ‘kuku’ kivingine vyovyote waonavyo ni sawa.

Kwenye demokrasia watu wote hawapaswi kufikiri na kuzielezea fikra zao kwa namna moja.

Hivyo basi, kama huwezi kustahimili maoni ya watu juu ya utendaji wako wa kazi, yawe ni maoni ya kukusifia au kukukosoa, [1] usigombee nafasi yoyote ile ya kisiasa na [2] kama wewe tayari ni kiongozi wa kuchaguliwa, basi acha kazi ili uendelee na maisha yako binafsi kwa amani na utulivu.

Tulimsema Rais Magufuli na wapambe wake alipokuwa hai na sasa tutamsema Rais Samia.

Rejea hili bandiko langu toka 2017.

Naungana na wote wanaomsema Rais Samia, akiwemo Wakili Mwabukusi.

Narudia tena kusema kuwa, hii ni Tanzania na siyo Korea Kaskazini.

Wapambe wa Samia kama hamtaki mama yenu asemwe, mwambieni aache kazi. Kama hawezi kuacha kazi, basi atende vyema kwenye kazi zake.

Zaidi ya hapo, ni mwendokasi wa kumsema tu.

All gas no brakes. Gun barrel straight.
Magufuli alikosolewa sana na CHADEMA tena wakiambatana na mwislamu Shehe Ponda katika ziara, ila leo akikosolewa Saa 100 eti CHADEMA wanamkosoa kisa uislamu wake.

Pumbavu zao Chama Cha Mambunzi na wavaa kobazi.
 
Naungana na wote wanaomsema Rais Samia, akiwemo Wakili Mwabukusi.

Narudia tena kusema kuwa, hii ni Tanzania na siyo Korea Kaskazini.

Wapambe wa Samia kama hamtaki mama yenu asemwe, mwambieni aache kazi. Kama hawezi kuacha kazi, basi atende vyema kwenye kazi zake.

Zaidi ya hapo, ni mwendokasi wa kumsema tu.
Umenena vyema..
Ila kuna genge la chawa sugu hawatakuelewa.
Cc: FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom