Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli. Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku...
25 Reactions
136 Replies
14K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA VIWANDA NA BIASHARA -ACT WAZALENDO NDG. HALIMA YUSUF NABALANG’ANYA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Humu humu huyu mwamba namkubali kwa kulinda privacy za watu
2 Reactions
6 Replies
693 Views
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME KUPATA MAJI HIVI KARIBUNI RUWASA inaendelea kufanya kazi nzuri ya kutekeleza miradi ya usambazaji wa maji...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Kuna maneno maneno yanazunguka humu JF na kwingineko kutoka kwa Mamluki wanaotumikishwa, kwamba Wagombea Ubunge wa CHADEMA wamejimilikisha majimbo, na kwamba eti wale wagombea wa CHADEMA wa miaka...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo...
14 Reactions
49 Replies
8K Views
Jana Rais Magufuli alielekeza sekretariate na viongozi mbalimbali kuchukua hatua kali sana kwa wabadhirifu wa mali za chama huku wengine wakisubiri vikao vya chama. baadhi ya majina yaliyojitokeza...
15 Reactions
142 Replies
24K Views
Hakuna Hisani kubwa ambayo aliyekuwa Mbunge wa Mbeya kwa tiketi ya Chadema Osmond Mbilinyi amewahi kuipata kutoka kwa Mbunge wake na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr Tulia...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Hili ni andiko Maalum kwa Mheshimiwa Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson na wanaccm wengine , wakiwemo Babu Tale , Kabudi , Nape Nnauye , Kasimu Majaliwa , Abood , January na Wengine , kwamba...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 19 leo Mei 5, 2023. Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia IGP imewataka ma RPC, OCD na wakuu wa vituo vya Polisi kukagua mara kwa...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali kupitia TANROADS Mkoani Songwe imekamilisha miradi mikubwa ya Kitaifa ya Barabara ikiwemo Daraja la Mto Momba ambalo limekuwa kiungo Muhimu kuunganisha Mikoa ya Songwe Rukwa na Katavi na...
2 Reactions
1 Replies
848 Views
Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha...
2 Reactions
12 Replies
991 Views
Imekuwa ni utaratibu wa kawaida kwa wafanyakazi wa Tanzania kuwa na kauli mbiu ya May Pay badala ya May Day kwa kila wakati kudai mishahara bora! Bahati mbaya sana Serikali ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
9 Replies
725 Views
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Hamza amesema Wafanyakazi Wanaoajiriwa na Taasisi za JMT Wana haki ya kufanya kazi popote pale Tanzania. Ukiajiriwa na Serikali ya JMT...
1 Reactions
5 Replies
779 Views
Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa...
3 Reactions
3 Replies
529 Views
Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini...
2 Reactions
2 Replies
614 Views
Back
Top Bottom