Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato.

Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa

F2gwtbtXIAEZk4J.jpg


F2gws-VXwAEx1wN.jpg
F2gwsvwXoAAhASj.jpg
F2gwtMjXsAI5SbX.jpg

Tundu Lissu
Agosti 2, 2023

Pia soma: Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto
 
Na utakoma, safari hii hakuna wa kukuonea huruma Burukenge wewe, unamtukana Rais Samia unadhani CCM nao hawajui kucheza rafu
 
Back
Top Bottom