William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama.
Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani.
Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume ya uchaguzi na wabunge wasio na chama kuwepo bungeni na kutochukuliwa hatua yoyote zaidi ya kubuy time tu. Bado miongoni mwa watanzania maridhiano hayo yanaonesha lidhaa ya CCM na ukolofi wa CHADEMA hadharani.
Baada ya CHADEMA kujenga sera kupitia tafiti za siasa.
1 . Watu wanakero gani
2. Watu wanataka kusikia nini
3. Watu wanaamini nini.
4. Kwanini bado watu wanaipenda ccm na kwa kiasi gani?
5. Sera kuhusu nini zinaweza kuwavutia.
6. Namna ya kufikisha sera zao. Hasa kwa watu wasiohudhuria mikutano ya siasa.
7. Watu wanaaminishwa nini kibaya kuwahusu na wanajihami vipi?
Wao wanafanya siasa za hasira baada ya kubinywa kwa mda mrefu na kupokonywa haki.
Akili ikiwa na hasira haifikirii kwa usahihi ata kidogo. Wanachofanya Ni kufoka kwa hasira tu. Kutafuta maneno magumu na kashfa na kuonekana wakorofi kwa watanzania wengi ambao Ni waoga na masikini.
Hii sio kwa bahati mbaya. Hivi Martin Luther King aliwezaje kujenga hoja zenye nguvu bila kutukana? Bila kashfa na watu wakamuelewa!!!!.
Kunakero na changamoto nyingi Sana Sasa na sio bandari tu. Mazao watu tumeminywa hasa. Sio korosho, kahawa Wala pamba. CHADEMA wako bize na bandari tuu huku tumbaku zetu zinanunuliwa Bei duni Sana, pamba zetu, choroko na CCM wanakusanya fedha za uchaguzi. Wao wako bize na bandari tu.
CHADEMA chukua hatua. Mikutano yenu iwe darasa. Andaaeni mada vizuri. Watu waelewe sera zenu. Watanzania wengi elimu duni. Bado mnatumia lugha ngumu
CCM wako simpo. Mikutano yao beba kila Kona, wote sare, sera yao amani ndio itaawapa ushindi tena