NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023...
Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe.
Matokeo yake unakuja yaona Bungeni...
Hawa viongozi waandamizi humu nchi wamehusika sana kwa nyadhifa zao katika suala la umeme wa IPTL na madini.
Tumeona kina Kitilya, Mramba, Mgonja na wengine wakifikishwa kwa Pilato kujibu...
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao
Tuna Jambo la kujadili ili...
Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa...
Chadema leo wameongea na Vyombo Vya habari kuelezea kuondoka kwa mh Kambaya Kwenye Chama hicho
Chadema wamesema siyo kweli kwamba mh Kambaya ameondoka na kundi lote la wanacuf waliojiunga...
Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake.
Ila sipo uko
Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana.
JPM alifanya Tanzania...
Umofia kwenu wana Great Thinkers.
Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine...
Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe.
Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani.
Nimekaa...
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali...
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es...
Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.
Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa...
Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza ukasema bila hofu Wala wasiwasi kuwa CCM inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ujao ikiwa tayari Imeshinda katika mioyo ya watanzania.
Hii Ni...
Za asubuhi wakuu wote wa hapa JF.
Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na wachezaji wetu wa timu ya taifa na hata wale wa club ambao ni watanzania. Mbona sijawahi kuwaona wakigombea au...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amesema miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya 5 inaendelea kutekelezwa Fedha ipo hakuna Mradi uliosimama
Dr Mwigullu PhD aliyasema haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.