Ukombozi wa Tanzania ni sasa

passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
5,888
11,370
Muda unaonesha ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi, wabadhilifu wa mali za umma, siasa za majitaka za CCM ni sasa.

Nchi ya Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwenye mikono ya Watu ambao wameshindwa kuiondoa kwenye umasikini licha ya nchi kuwa na rasilimali lukuki. Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwa watu waliotengeneza mifumo ya Elimu ambayo haina msaada kwa watanzania, mifumo ambayo haisaidii watu kuishi maisha ya kujitegemea.

Tanzania ingetakiwa kuwa vizuri zaidi ya hapa tulipo kwa sababu ya rasilimali tulizonazo kama mali asili na rasilimali Watu lakini bado ni nchi masikini. Nipo tayari kuwa sehemu ya ukombozi/nipo tayari kuwa sehemu ya kujenga Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa.

Wewe je?
 
Due
 
Attachments

  • IMG-20230802-WA0003.jpg
    IMG-20230802-WA0003.jpg
    126.1 KB · Views: 3
Muda unaonesha ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi,wabadhilifu wa mali za umma,siasa za majitaka za CCM ni sasa. Nchi ya Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwenye mikono ya Watu ambao wameshindwa kuiondoa kwenye umasikini licha ya nchi kuwa na rasilimali lukuki. Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwa watu waliotengeneza mifumo ya Elimu ambayo haina msaada kwa watanzania.mifumo ambayo haisaidii watu kuishi maisha ya kujitegemea. Tanzania ingetakiwa kuwa vizuri zaidi ya hapa tulipo kwa sababu ya rasilimali tulizonazo kama mali asili na rasilimali Watu lakini bado ni nchi masikini. Nipo tayari kuwa sehemu ya ukombozi/nipo tayari kuwa sehemu ya kujenga Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa.wewe je?
Wakati wa awamu.ya Tano hukusema haya na basically hakuna kilichobadilika.
 
Muda unaonesha ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi,wabadhilifu wa mali za umma,siasa za majitaka za CCM ni sasa. Nchi ya Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwenye mikono ya Watu ambao wameshindwa kuiondoa kwenye umasikini licha ya nchi kuwa na rasilimali lukuki. Tanzania inahitaji ukombozi kutoka kwa watu waliotengeneza mifumo ya Elimu ambayo haina msaada kwa watanzania.mifumo ambayo haisaidii watu kuishi maisha ya kujitegemea. Tanzania ingetakiwa kuwa vizuri zaidi ya hapa tulipo kwa sababu ya rasilimali tulizonazo kama mali asili na rasilimali Watu lakini bado ni nchi masikini. Nipo tayari kuwa sehemu ya ukombozi/nipo tayari kuwa sehemu ya kujenga Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa.wewe je?
Maneno mazuri sana, yenye kusisimua mwili na kusuza roho.

Natamani sana pangekuwepo na ishara yoyote ya kundi la waTanzania waliojipanga kuyatimiza haya matamanio.

Lakini sipendi kukukatisha tamaa, ila matarajio yangu ya chini zaidi kuliko yako ni kuiondoa CCM na uchafu wake wote.

Kwa sasa hivi, hili ndilo lengo muhimu zaidi linaloweza kutekelezwa na yeyote yule mbadala wa CCM, hata kama hana hizo sifa nyinginezo ulizozigusia wewe.
 
Mimi nipo tayari nahitaji Tanzania iliyo bora.
 
Sipingi chochote juu ya hili mkuu. WaTanzania wengi sana hicho ndicho wanachokitamani, ila CCM hawana uwezo wa kutupeleka huko, na kwa bahati mbaya ni kama sisi wenye matamanio hayo ni mateka wa watu hawa.
 
Back
Top Bottom