Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla kukosekana kwa dola kunaiathiri shilingi ya Tanzania na moja kwa moja inakwenda kuathiri faida ya biashara na ukuaji wa uchumi,inaweza pia kuathiri uwezo wa Serikali kulipa madeni yake ya nje maana itahitaji kulipa deni hilo kwa dola,na mabenki yatakwenda kupata shida kwenye ulipwaji wa mikopo sababu ya athari ya biashara,mwenendo mbaya wa biashara unaodhoofisha soko sababu ya uagizwaji hafifu wa bidhaa unaokwamishwa na sarafu ya dola ya kimarekani.

Jibu rahisi ni kwamba balance of payment haijakaa vizuri yaani tunachopeleka nje kina thamani ndogo kuliko tunachoingiza nchini kutoka nje,hivyo tunatoa dola (foreign currency) nyingi kuliko tunavyopokea,fikiria ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya treni ya SGR unafanyika kwa fedha za kigeni,jibu lingine ni kupanda kwa bei za mafuta kumechangia,maana kama ulikuwa ukitumia dola milioni moja kuagiza lita X za mafuta baada ya kupanda utahitaji dola zaidi kuagiza kiasi kile kile,kama tumeshindwa kuingiza pesa ya kigeni kupitia kuuza dhahabu,Chai,Utalii hata kupitia bandari yetu ya Dar es Salaam,basi jibu lingine kama kutakuwa na usimamizi mzuri, kilimo pekee kinaweza kuleta mapinduzi katika biashara na kubadili thamani ya kubadili fedha,Kama mazao yote yataongezwa thamani kabla hayajauzwa nje, nchi itapata fedha nyingi(value chain).

Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa na ndoto ya kuiona Tanzania ya viwanda tukizalisha na kuuza nje ya nchi,dalili zote zilionyesha mabadiliko ya kuingia kwenye viwanda yalikuwa makubwa,January 2016 dola 1 ilinunuliwa kwa tshs 2,157 na kuuzwa kwa 2,208 Mwaka 2020 dolar ya Marekani ilinunuliwa kwa Shilingi 2,277.495 kuuzwa kwa Shilingi 2,300.27 ukuaji wa uchumi ulikuwa kwa wastani wa asilimia 7 na mfumuko wa bei ulikuwa chini kwa wastani wa asilimia 4,Bei ya mchele kwa kilo ilikuwa 1,800 na bei ya unga kwa kilo ilikuwa 1200 bei ya maharage ilikuwa 1,200 kwa kilo na nyama ilikuwa 6,000 kwa kilo,ndoto ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ilikuwa kuendelea kutulia kwa bei ya nishati nchini kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya gesi asilia katika uzalishaji wa umeme,na ujenzi wa vyanzo vingine vya Umeme kama Kinyerezi na pia Ujenzi wa Bwawa kubwa la Rufiji (Stigglers Gorge) na mwendelezo wa Sera thabiti ya fedha na kibajeti, kutobadilika sana kwa bei za mafuta katika soko la dunia pamoja na kuendelea kuwepo kwa utulivu wa thamani ya Shilingi.

Ili sarafu (currency) yoyote ifanye kazi lazima kuwe na uaminifu (trust),lazima watumiaji waamini kwamba currency hiyo thamnani yake ni imara (stable),wasipoamini hivyo watapunguza matumizi yake au kuacha kabisa,na thamani yake itazidi kuporomoka,trust ni muhimu kwa currency yoyote,hata kama umei-peg kwa gold,lazima mtu aamini kwamba thamani ya gold haitashuka kamwe,Ili kitu chochote kitumike kwa ajili ya kubadilishana thamani,nilazima kitu hicho kiwe na guarantee of value,yaani ili mimi nikupe dhahabu wewe unipe yale makaratasi ya dollar,

Uhakika wa uthamani ni muhimu,ni lazima kuwe na guarantee some where kwamba nikipeleka hayo makaratasi nitapata thamani inayokaribiana na thamani ya dhahabu zangu,makaratasi hayo tumekubaliana yaitwe dollar,Without this guarantee no one would use the currency as the medium of exchange,tunaitumia dhahabu kama currency,sababu haina explicit guarantee ya value, lakini mtu atakuwa tayari kubadilisha bidhaa yake na dhahabu (Gold)kama anaamini kwamba baadaye atarudisha thamani yake kwa kuibadilisha hiyo gold na kitu kingine chenye thamani sawa na hiyo,kuna wakati chumvi ilitumika kama currency, kwa sababu wakati huo watu walikuwa wanaamini kwamba akibadilisha kitu na chumvi atarudisha thamani yake hapo baadaye.

Jana nilimsikia Rais wa kijana wa Burkina Faso akisema "uwingi wa rasilimali tuliyojaaliwa Waafrika anajiuliza kwa nini Afrika bado ni masikini" Sasa sijui bado kijana tumpe muda kidogo aone vitimbwi na vioja vya Afrika au ameamua kukaza kama alivyokaza Hayati Rais John Pombe Magufuli,lakini nami najiuliza swali hilo hilo ila ninalo jibu moyoni,labda nami nikuulize ndugu msomaji kwa nini matumizi ya dola nchini yamefika kiasi cha kuwa na madhara kwenye uchumi wetu,Je hifadhi ya dola imepungua benki kuu,Mimi nimezaliwa miaka ya 1980 nimekuta hifadhi ya dola ndio tumekubaliana iwe kipimio,najiuliza tena kwa nini tusingekubaliana dhahabu iwe kipimio maana tani za dhahabu ardhini,

Kama ningekuwepo kwenye kile kikao cha Afrika na Rais Vladimir Putin wa Urusi,yule Rais wa Burkina Faso ningependa kumpa jibu lake kwa kumwambia aamue dhahabu kwenye ardhi yake ziwe kipimio cha thamani ya uchumi wa nchi yake ya Burkina Faso,big up Rais Ibrahim Traore,naona unawakilisha vyema kizazi cha tatu baada ya Uhuru wa Mwafrika,turudi bongo,kwa nini hitaji la dola ni kubwa kuliko shilingi, demand(hitaji) la dola ni kubwa kuliko supply(upatikanaji),hii inamaanisha expenditure ya forex (matumizi ya dola)ni makubwa,kumaanisha tunatumia (spend) kwa dola (forex) kuliko dola (forex) tunazoingiza,hii maana yake tuna import zaidi kwa kutumia dola (forex) kuliko export ya forex income zetu,hivi karibuni tumekuwa na miamala mingi(Telegraphic Transfers) kwa ajili ya kuagiza mizigo China na uturuki,

Nimalizie kwa kusema dollarisation has created weak demand for Tshilingi,udhaifu wa shilingi mbele ya dola utapelekea kushuka kwa uchumi na pesa kukosa thamani itapelekea people shunning away from Tshilingi,watu kutoitaka shilingi inapelekea Tsh kuwa nyepesi, Tshilingi becoming cheaper na hii itapelekea inflation(mfumuko wa bei) na effect ya inflation in the end consumer(mlaji wa mwisho) wanaloose appetite ya local currency If the worse comes to the worse,watu wataanza kubadilishana vitu kuepuka kutumia shilingi,huu si utabiri ni uchumi tuliofundishwa na mzungu labda tukatae huu uchumi turudi enzi zetu za "butter trade" kubadilishana mchele na chumvi,sasa je tuweke sheria kwamba watu hawaruhusiwi kubadilishana vitu? Jibu tunaweza kufanya tusifike uko,tunaweza kufunga mkanda to solve the core problems,Case study John Pombe Magufuli approach towards economy,tusisubiri madhara ya inflation,Case study Zimbabwe.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Wala machawa utasikiia kanzai mzuri ya mama .
 
Nikisikia, huu upuuzi"kiongozi Fulani alikuwa, na, ndoto ya"kufanya vitu flani, huwa napata kichefuchefu,
Nchi haijengwi kwa kuota tu, lazima ufanye kazi,
Jpm alikuwa mwizi, kama wezi wengine wa, ccm, altumia pesa ya umma vibaya, akatumia pesa kujenga airport chato,Yule kenge aliwaza ataishi milele!sasa airport imebaki haina kazi,
 
Unapojibu uje na data,facts na research January 2016 kununua dola 1 ilikuwa ni tshs 2,157
 
Mwaka 2020 dolar ya Marekani ilinunuliwa kwa Shilingi 2,277.495 kuuzwa kwa Shilingi 2,300.27 ukuaji wa uchumi ulikuwa kwa wastani wa asilimia 7 na mfumuko wa bei ulikuwa chini kwa wastani wa asilimia 4.
 
Mwaka 2020 Bei ya mchele kwa kilo ilikuwa 1,800 na bei ya unga kwa kilo ilikuwa 1200
 
Tusitafute mchawi, tumemsaliti mmarekani tumeenda kwa Mrusi, haya ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom