benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Viongozi wa vyama vya siasa wamekemea tabia ya baadhi ya Wanasiasa wanaotumia vibaya fursa ya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kutoa lugha za matusi, udhalilishaji na kupandikiza chuki kuhusu Muungano.
Viongozi hao pia wameungana na viongozi wa dini kukemea tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kusimama katika majukwaa ya kisiasa kunadi vyama vya siasa.
Wametoa kauli hiyo Dares Salaam jana katika mkutano wa vyama vya siasa alicandaliwa na Baraza la Vyama vya Siasa nchini. Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chaWananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba alisema katika mikutano mwanasiasa anaweza kuwa na hoja zake na akazi-wasilisha bila kupandikiza chuki kuhusu
Muungano.
"Tutumie busara kufanya mikutano, mnataka kurudi tunakotoka? Yule bwana alikuwa akiongea wote kimya sasa mnahi-taji turudi huko?" Alihoji Profesa Lipumba akihimiza wanasiasa waitumie vizuri fursa waliyopewa.
Mwenyekiti wa Taifa wa United Democratic Party (UDP), John Cheyo alisema tangu kuanza tena kwa mikutano ya kisiasa, kuna mambo yanatia wasiwasi zikiwamo
kauli za kutaka kuvunja Muungano. "Sasa tunasikia matusi hadi kiasi cha kudhalilisha kiongozi wa chi na sasa wanaweza kwenda mataifa mengine kushambulia nchi yao, uzalendo uko wapi?
Tunajiuliza tukiendelea hivi tutakuwa na umoja na tutaendelea kuwa na amani tukaona kwanini tusite kikao cha wadau tuzungumze," alisema Cheyo.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Florence Lutaiwa alisema viongozi wa
Kidini wana wajibu wa kukemea maovu katika jamii na si kupanda katika majukwaa ya kisiasa.
"Tumeitwa ili viongozi wa dini tuweze kujua mipaka yetu katika siasa lengo letu sio kuchukua dola ila kuelekeza kufanya siasa nzuri. Mano suala la bandari badala ya kujadili kwa hoja sasa kinachoendelea dini imeingizwa," alisema Padri Florence Mwenyekiti wa Jumuiya na Taasisi za Kislamu Tanzania, Shehe Musa Kundecha alisema si vizuri viongozi wa dini kuwa mashabiki wa chama fulani cha siasa.
"Asipande katika jukwaa la siasa kuonesha chama gani kinafaa, waepuke ubaguzi na kubagua, lakini alipaswa kukemea, makosa ya kisiasa ni makubwa, viongozi wa kidini wanatakiwa kuangalia hili kwa umakini zaidi," alisema Shehe Kundecha.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji Moses Matonyah alisema viongozi wa dini wanatakiwa kuwachunga Watanzania wote wanaotoka katika vyama vote vya siasa..
Mchungaji Matonyah alisema sasa kuna tabia ya viongozi wa kisiasa kujitokeza kwenye majukwaa ya kisiasa na hawaja-tumwa kupitia mabaraza.
Akifungua mkutano huo, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi alisema wamefuatilia mwenendo wa siasa nchini, na kuona kuna haja yakuwa na kikao hicho ili kujadili chan gamoto kwenye mikutano ya hadhara.