Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia Hata hivyo hoja zake...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Sa'Leku Shekhe! Kiukweli, Mama yetu hana baya. Ni Mama mtaratibu na mpole sana. Anajali sana watu, hana majivuno. Anajua kujishusha na ni mtu mwenye huruma sana. Tatizo lipo kwa wale watu Mia...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
TANZANIA, INDONESIA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI UCHIMBAJI MADINI Dodoma Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Tanzania na Indonesia zitashirikiana katika kuendeleza shughuli za uchimbaji...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu Wanajamvi Kwa heshima kubwa naomba nitoe shukrani kwa niaba yangu binafsi, familia yangu na watu wangu wa Kijiweni kwa Ujasiri wa Kuendesha mijadala yenye tija kwa taifa letu bila kujali...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake. ========= Prime...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Mbunge wa Jimbo la Chaani – Zanzibar, Juma Usonge Hamad akichangia mada Bungeni akidai bei ya nyama ya ng’ombe kwa upande wa Zanzibar ni gharama na kuwa Kilogramu moja inauzwa kuanzia Tsh. 13,000...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna watu huku jamii forum mnajipa moyo sana kwamba CCM katika Jimbo la Mh Spika Tulia ACKSON inaweza "kutema" Jimbo kwa mtu anaitwa Sugu!Thubutu! Hesabu wa kumshinda Sugu Jimbo la Mbeya...
2 Reactions
14 Replies
875 Views
Ni kawaida Sana sasa kukuta wagombea Ubunge wa CCM wakiwahofia Sana Wajumbe na kuwaona kama miungu Watu lakini wakiwapuuza wapiga kura wa Uchaguzi mkuu Hata kugawa Majimbo ni CCM wanakimbiana...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona wanafunzi wanashindwa kwenda shuleni kwa sababu wamekosa michango mbalimbali. Wazazi wanakubaliana kwenye vikao vya shule kulipa michango lakini utekelezaji ziro. Matokeo...
2 Reactions
8 Replies
657 Views
Kipande cha Barabara cha Town Clinic ni Kibovu tangu nahamia Tabora Mwaka 2019. Ni Kipande ambacho hata Mita 100 hakifikishi, ndicho kinachoingia Salmini, sehemu Muhimu kiuchumi, Diwani wa eneo...
3 Reactions
4 Replies
519 Views
Jiji la Mwanza ni ushahidi tosha kwamba hata uhujumu vipi, kama imeandikiwa itatokea tu, jinsi wanavyotumia nguvu kubwa kulihujumu ndiyo linavyopaa zaidi kimaendeleo! Ukiacha Serikali ya awamu ya...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Mahakama kuu chini ya mtendaji mkuu wa Mahakama bwana Olisante Ole Gabrieli zaidi ya Mwaka sasa ameshindwa kuwalipa wajasilia Mali ambao wamewauzia matofali zaidi ya elfu arobaini ambayo...
0 Reactions
1 Replies
483 Views
Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Kurudisha wabunge kama hawa bungeni basi sio swala tena la kushangaza bali litakuwa la kipuuzi kabisa. Watu wazima tena waheshimiwa wanaona mbunge jasiri Luhanga Mpina anawatetea wakulima na...
15 Reactions
48 Replies
4K Views
Lisemwalo lipo ni msemo wa wahenga. Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa jimbo la Mbeya linarudi kwa CHADEMA. Watu walinibeza hasa wale UVCCM. Nilijua kuwa wana Mbeya hatumtaki kabisa Tulia na...
25 Reactions
90 Replies
5K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI-ACT WAZALENDO NDG. MTUTURA ABDALLAH MTUTURA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Back
Top Bottom