Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali...
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es...
Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.
Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa...
Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza ukasema bila hofu Wala wasiwasi kuwa CCM inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ujao ikiwa tayari Imeshinda katika mioyo ya watanzania.
Hii Ni...
Za asubuhi wakuu wote wa hapa JF.
Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na wachezaji wetu wa timu ya taifa na hata wale wa club ambao ni watanzania. Mbona sijawahi kuwaona wakigombea au...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amesema miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya 5 inaendelea kutekelezwa Fedha ipo hakuna Mradi uliosimama
Dr Mwigullu PhD aliyasema haya...
Taarifa iliyosambazwa Nchini Tanzania , inaeleza kwamba Issa Ponda , Sheikh anayetajwa kama mpiganiaji bora wa Mali za Waislam kwenye eneo la Maziwa Makuu , kesho tarehe 02/05/2023 ataongea na...
Hizi hapa data za idadi ya watu majimboni Tanzania bara na visiwani iliyotolewa lea kwa wabunge muda mfupi jimbo la ukonga na Mbagala ziko juu huku kule Zanzibar ikiwa ndogo sana kama mtaa tu hapa...
Mwanza. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi na Katibu wake, Emmanuel Buyamba wamesimamishwa uongozi kwa muda wa mwaka mmoja kwa tuhuma za...
Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na...
RAIS DK.MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu...
Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale...
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA VIWANDA NA BIASHARA -ACT WAZALENDO NDG. HALIMA YUSUF NABALANG’ANYA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24...
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME KUPATA MAJI HIVI KARIBUNI
RUWASA inaendelea kufanya kazi nzuri ya kutekeleza miradi ya usambazaji wa maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.