Katibu Mkuu wa CCM Komredi Chongollo amepiga marufuku mkoa wa Iringa kuwa chimbuko la Wadada wa Kazi (House girls) nchini.
Chongollo anesema wasichana wa mkoa wa Iringa waachwe wajiendeleze...
Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji.
==========
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Je, ni sahihi na halali Chadema kutufundisha Katiba mpya iweje?
Kwani Msingi wa Katiba ni nini?
Ninavyofahamu duniani kote Katiba mpya zililetwa na Nguvu ya Umma Siyo na Watawala.
Mungu ni Yule...
Ifike wakati Watanzania tutoe amri kwa watawala kwamba kama hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024, wala uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Nchi hii ni ya Watanzania...
Habari JF,
Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu.
Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha...
MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA
"Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la...
Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake...
Habari JF,
Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe.
Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki
Je, ile...
Picha: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni
SERIKALI imelieleza Bunge kuwa hairuhusu uraia pacha kwa watu wazima isipokuwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 18.
Waziri wa...
Gazeti la Jamhuri toleo la leo limebebwa na habari kubwa ya wizi ulioripotiwa na Mkaguzi wa Serikali Kuu yaani CAG wa Taifa la Zanzibar dhidi ya fedha zilizotafutwa na Raisi wa Jamhuri wa Tanzania...
Hii ndio taarifa mpya kwa leo inayoletwa kwenu Wananchi wote na Dunia nzima, ni kwamba tangu kuanzishwa kwa Oparesheni hii ambayo ilianzia Kigoma, hakujawahi kutokea Umati mkubwa kama huu...
Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali...
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa.
Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli?
Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali.
All in all...
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu mkoa wa Tanga Bi Chiku amewaamuru watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuhamia Wilayani kwa lazima huku kukiwa hakuna nyumba za kuishi.
Katika kuitikia...
Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia!
Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 36 leo Mei 30, 2023.
Upatikanaji wa Dawa kwa Wazee
Akijibu swali Bungeni kuhusu namna ambavyo Serikali inajipanga kutatua...
Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu.
Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake.
Pole sana ndugu yangu Musiba naona...
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.
Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.