Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,295
- 11,760
Gazeti la Jamhuri toleo la leo limebebwa na habari kubwa ya wizi ulioripotiwa na Mkaguzi wa Serikali Kuu yaani CAG wa Taifa la Zanzibar dhidi ya fedha zilizotafutwa na Raisi wa Jamhuri wa Tanzania yaani Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassani.
Nimejiuliza, kwanini Jamhuri hawakutoa uzito mkubwa kwa ripoti ya CAG wa Tanganyika? Nikabaini yafatayo;
Mosi; wanalenga kumchonganisha Rais Samia na ndugu zake walio tafuna hizo pesa. Maana sasa awamu hii nao wanafaidi pesa zilizotafutwa na Rais wa Jamhuri.
Pili; Jamhuri inasemekana waliopokea mgao kutoka kwa baadhi ya majizi ya Tanzania bara yaliyotajwa.
Sasa wanapiga chapuo na wapigaji wa Zanzibari wawafunge midomo (kama wabisha angalia kama watatoa nakala ya habari hii tena, yaani leo ndo wamemaliza. Maana nasikia majamaa yanajipanga kuja bara kuleta mrungura.
Tatu; Jamhuri wana wivu na husuda.
Nne
Tano ..
Sita; na Wewe ongezea