Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
Hapa ndipo ilipozinduliwa Ikulu Mpya ya Tanzania
Toa Maoni yako
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
kwamba hujui kwamba Ikulu imezinduliwa juzi Dodoma ?ikulu yenyewe iko wapo sasa? Mbona haionekani
Wale kima wa kijani wako busy kubishania nani kati ya Magufuli na Samia anastahili kupewa heshima ya legacy ya kujenga Ikulu ya Chamwino huku wakisahau uduni wa maisha ya wananchi wa Chamwino.View attachment 2633459View attachment 2633460
Hapa ndipo ilipozinduliwa Ikulu Mpya ya Tanzania
Toa Maoni yako
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wako bize kujiongezea mamlaka usalama wa taifa😂😂
Tatizo la nchi hii ni rushwa na anasa za watawalaMiaka 62 ya uhuru wa mchongo na kutawala nchi bado watoto wanakaa chini mashuleni bado vyumba vya madarasa havitoshelezi mahitaji, bado maji na umeme ni shida ya kudumu bado wanachukua mikopo ili wajenge zahanati
Itajengwa vizuri kabisa mwaka ujao wa Fedha Kwa mradi wa Boost..View attachment 2633459View attachment 2633460
Hapa ndipo ilipozinduliwa Ikulu Mpya ya Tanzania
Toa Maoni yako
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Aliyeelewa hii sentensi anieleweshe na mimi..!!Sabodo mtu binafsi alichomba visima hebu tuonyesheni japo kisima kimoja na nyie ikiwa ni Taasisi.
Huyo ni kichaa achana naeAliyeelewa hii sentensi anieleweshe na mimi..!!
wewe weka hizo nzuri tupongezeItajengwa vizuri kabisa mwaka ujao wa Fedha Kwa mradi wa Boost..
Dk Samia hataki hizi aibu ndogo ndogo.
Mwisho mbona mnatafutiza shule mbaya mbaya, nzuri hamzioni Ili kupongeza au mnaona aibu?
Maoni ni kuwa pako poa tu yani.View attachment 2633459View attachment 2633460
Hapa ndipo ilipozinduliwa Ikulu Mpya ya Tanzania
Toa Maoni yako
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app