Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni, mkulima amefungua kesi mahakamani dhidi ya baadhi ya Mawaziri kufuatia report ya CAG kuonesha kuwa kumekuwa na wizi/ubadhirifu/ufujaji mkubwa wa pesa ya umma kwenye wizara zao...
3 Reactions
7 Replies
851 Views
Watanganyika wanacho taka ni Yanga na Simba zishinde au zifanye vizuri basi, hayo mambo mengine hayawahusu kabusa, yaani hata nchi ikipigwa mnada ni poa kabisa na hakuna mwenye time. Si bure...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za...
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Nakuomba uzingatie ushauri huu ninaokupatia kwa sasa, kwani una faida kwako binafsi na kwa kampuni yenu ambayo inajiendesha kwa uaminifu sana na ina jina zuri Nchini na nje ya nchi hii. Kama...
45 Reactions
109 Replies
11K Views
Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa. Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!" Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha...
46 Reactions
115 Replies
9K Views
Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee. Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo. Kitaifa siku hiyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ni siku ya mwisho ya mwezi Mei nani amepanda treni ya SGR?
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika siasa za Tanzania na kwenye bunge la bajeti tunashuhudia jinsi wizara ya nishati inavyonunua waandishi wa habari na wabunge katika jitihada za kuhakikisha bajeti yao...
2 Reactions
5 Replies
927 Views
Na Eleuteri Mangi, WUSM Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefanya kikao na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Miliki Bunifu la Kikanda Afrika...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Wizara ya Uchukuzi imesema Utengenezaji wa Mabehewa 45 ya Treni ya SGR sasa umefikia 95 na itawasili nchini Kati ya June na November mwaka Huu Aidha Serikali inatarajia kupokea vichwa viwili vya...
0 Reactions
8 Replies
958 Views
Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia: Ufafanuzi wa ubia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Itakuwa aibu kubwa kwa Mhimili wa Bunge kutokemea tabia ya wabunge kudhalilishwa na viongozi wa wilaya kwa kuitwa majina ya hovyo kama MWALI. Pia soma > Mkuu wa wilaya Rebeca Sanga amuita Luhanga...
3 Reactions
10 Replies
978 Views
Alikuwa akijibu maswali katika Program ya Mjadala ya Club House ya Msemaji wa Serikali. ======== Waziri wa Nishati, January Makamba amesema, takribani nusu ya miradi ya kimkakati iliyoainishwa...
0 Reactions
104 Replies
4K Views
Ndege ya mizigo ya AirTanzania Cargo inaleta faida nyingi na inategemewa kuleta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo na kuongeza uchumi katika nchi. Hapa chini ni baadhi ya faida zake...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom