Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
112
140
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.

Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na kujimilikisha yeye na marafiki zake.

Eneo la ardhi linalotajwa ni la maelfu ya familia masikini katika vijiji vya Dalla na Mbwade mkoani Morogoro.

Chanzo: Cheche Times
 
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na kujimilikisha yeye na marafiki zake. Eneo la ardhi linalotajwa ni la maelfu ya familia masikini katika vijiji vya Dalla na Mbwade mkoani Morogoro.

Souce: Cheche Times
Baada ya kuwanyoosha Mawaziri makanjanja sasa wameamua kumuundia zengwe
 
Naona mafisiemu yameamua kuingia location na kuja na bongo flava za kumuua kisiasa Mpina baada ya kua anawapelekea moto kule bungeni!!

CCM hoja za Mpina bungeni ni hoja halali,mna wigo wa kujibu ndani ya bungeni na nje ya bunge kupitia matawi yenu ya UVCCM,UWT na lichana chakavu lenyewe,njia ya kumsiriba kinyesi,wote mtanuka kinyesi Ila ndani ya bunge Mpina ataendelea kuibua hoja!!
 
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na kujimilikisha yeye na marafiki zake. Eneo la ardhi linalotajwa ni la maelfu ya familia masikini katika vijiji vya Dalla na Mbwade mkoani Morogoro.

Souce: Cheche Times
Hata haiji? Ime expire hii, kaitupe
 
Ccm mbona kma chama hakijielewi na kibovu kias kwamba kimechokwa sana wa Tanzania wengi sana na kila ukicha wanakivunja chama Chao wao tatzo UPINZANI NAO haujielwi na kujitambua kabisaa agenda zao nao wanawapamba hao hao CCM hapa sijui nani wa kuja kulikomboa TAIFA HILI LENYE KIZA NA WANAICHI WAKE NAO WAPO KWENYE USINGUZI TOTOROO
 
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.

Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na kujimilikisha yeye na marafiki zake.

Eneo la ardhi linalotajwa ni la maelfu ya familia masikini katika vijiji vya Dalla na Mbwade mkoani Morogoro.

Chanzo: Cheche Times
Hapo CCM hawatofanya kitu watampigia makofi tu na kumsifu kuwa shujaa kupora mali watu bila kupigwa mishale au mikuki.
 
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia.

Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na kujimilikisha yeye na marafiki zake.

Eneo la ardhi linalotajwa ni la maelfu ya familia masikini katika vijiji vya Dalla na Mbwade mkoani Morogoro.

Chanzo: Cheche Times
Ukitaka kujua maana ya mjinga , mfano wake ni wewe
 
Back
Top Bottom