Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 118,132
- 89,197
Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu.
Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake.
Pole sana ndugu yangu Musiba naona unavuna ulichokipanda sasa.
Naomba tumsikilize vizuri ili tuchangie na vilevile tutoe ushauri kwa kila upande.