Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Kile Chama Pekee cha Kisiasa Nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara , leo kimeingia Mkoani Tabora na kutoa elimu Kabambe kuhusu Umuhimu wa Watanzania kuhakikisha katiba mpya...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi: Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele Ameyatamka TAL rais wa...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
MHE. JANEJELLY NTATE AFANYA KONGAMANO LA WALIMU WA SANYANSI NA HISABATI MKOA WA DAR KUTAFUTA CHANZO CHA WANAFUNZI KUTOKUWA NA UFAULU MZURI KATIKA MASOMO HUSIKA HASA WANAFUNZI WA KIKE Mhe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hatua ya ushirikishwaji wa makundi yote ili kuratibu mchakato wa Katiba mpya ndio CHADEMA wamegoma kuhudhuria. Makundi yote yaliyoalikwa yameitikia Wito. Swali: CHADEMA ni special sana...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA badala ya kuwapa elimu sahihi Wasanii kama Sheria inavyo wataka, wao wanawadanganya na kuwapoteza eti NEMC inazima Muziki. NEMC haizimi Muziki, imeweka viwango...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Jumla ya masanduku 191,885 ya kupigia kura yameundwa kwa ajili ya wapiga kura nchini. / Picha: TRT World Rais wa sasa wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza ushindi katika duru ya pili ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO. Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023 Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama Hii ndio Nguvu ya Umma inayohubiriwa na Chadema basi nimeogopa sana Eneo walilopitia maelfu baada ya ubomozi na kwenda kuujaza Uwanja huwezi kuamini Maelfu wengine wako nje na Uwanja uko...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Nimeshuhudia minyukano mikali huko mitandaoni ndio nikakutana na na hili Neno " a paid slave" Ndio nikajiuliza Chawa anaweza kulipwa tsh 10,000,000 kama posho ya Kuongea ongea tu kila mwezi...
2 Reactions
7 Replies
714 Views
Huu wa Kwanza kabisa ni mkutano wa ngazi ya Kata wa ccm kwenye Kata ya Mwalo huko Mbinga Unaofuatia ni mkutano wa ACT WAZALENDO , huu ni ngazi ya Jimbo Songea Mjini Huu wa mwisho ni Mkutano...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science. Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali...
3 Reactions
11 Replies
943 Views
Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical...
21 Reactions
196 Replies
11K Views
Ndugu zangu watanzania, Katibu mkuu wa CCM mh Daniel Chongolo ameitetemesha na Kuiteka Iringa kwa maagizo yake Mazito ya kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya wana iringa yaliyo...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom