Ofisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA), imetoa Semina kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu majukumu na fursa zilizopo katika ofisi hiyo ikiwemo kulinda hakimiliki za...
MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI
"Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa...
Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini..
Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara...
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona
Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga...
Ni ukweli ulio wazi kwamba zama za Freeman Mbowe kwenye Siasa za Upinzani zimefika ukingoni labda arudi kuhudumu CCM.
Ila ni ukweli usiopingika kuwa Mbowe ni Mwanasiasa Bora wa wakati wote...
Sio bure nadhani kuna kipapai tumepigwa ama la tumemkosea Muumba wetu ama mizimu yetu! Vyovyote iwavyo kuna mahali tumekosea ama kupungukiwa na kitu kikubwa sana!
Maumivu ya bando wala hayaumi...
Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kazi ni yeye. Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako lakini atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa.
Ni...
Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Nchini kwetu kuna vyama vingi vya siasa. Na kila chama kina lengo na nia ya kushika...
MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025"
"Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha...
ALAT ni Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa...Association of Local Authorities of Tanzania
Benki ya NMB imefanikiwa kuchangia kiasi cha Sh. 200 milioni kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya...
Utendajikazi, Upole, Ustamilivu, Subra, Busara, Huruma na Mapenzi ya MNEC Iringa Ndugu Salim Faraj Abri ASAS Kwa wanaIringa na Wana-Nyanda za Juu Kusini, Imekuwa ikijenga taswira njema ya Chama...
Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo...
ANGELINA MALEMBEKA ASHANGAZWA ASKARI USALAMA BARABARANI KUJIFICHA
Agelina Malembeka, Mbunge wa Viti Maalum
Mbunge wa Viti Maalum Angelina Malembeka akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
SINTOFAHAMU YA ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF): WAZIRI UMMY MWALIMU ATOE MAJIBU KWA WADAU
Kumekuwa na kilio cha Wadau...
Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana.
Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua...
SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa...
Prof Issa Shivji anasema Tunakopa zaidi na zaidi Ili tulipe madeni tuliyolimbikiza hii inaitwa Mtego Deni au Debt trap
Prof Shivji anasema hii ni aina mpya ya Utumwa
Shivji anasema Utumwa ni...
Naomba nikiri, Mimi ni mrahibu wa GAZETI Ili Kila linapotoka lazima nilinunue na pale nikutapo kasoro uwa naumia.
Nielezee Kwa Nini naumia.
Kwanza wakati nimemaliza shule Ili GAZETI ndo ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.