Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, leo Mei 25, 2023.
Rais wa Uganda Yoweri...
Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini:
Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi.
Tuyaweke maslahi ya taifa...
Kikundi cha Ngoma na Sarakasi cha Safi kutoka jijini Dar es Salaam kimekuwa kivutio katika viunga vya jiji la Johannesburg Afrika Kusini kwa kutia fora kwa kutoa burudani safi wakati wa...
Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria.
Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya...
KEYU mini electric truck 4x4 High Performance Long Delivery Electric Cargo Pickup Truck & SUV Fast Charge Time(h):3-5h, up to 300 KM , Price $2,295.00
Bei za mafuta zinapanda, mfumuko wa bei...
Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli.
Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe...
Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa...
Upatikanaji wa katiba mpya ni utaratibu wa kisheria, na mchakato mzima ni lazima uwe wa kisheria. Process nzima, kuanzia vikao mpaka ushirikishwaji ni lazima viwe vya kisheria.
Vikao vya mchakato...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha.
Akijibu swali la...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.
Kwa...
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and
white can never be red.
Huyu bwana yuko very persistent, determined and self...
Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi...
Mkuu wa Mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema ni aibu Kumsumbua Waziri Mkuu kuja kutatua Changamoto wakati yeye Mkuu wa Mkoa Yupo.
Chalamila ameahidi kwamba Hilo halitajitokeza tena
=====
Mkuu...
Akiwa Iringa Katibu mkuu wa CCM komredi Chongollo ameigiza Tarura kuanza Ujenzi wa barabara inayokwenda Dispensary ndani ya saa 24, Injinia ametii na kazi imeanza
Huko Tabora Mbowe amesema...
Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho.
Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya...
Mama Samia miaka 9 tena. Sasa hivi tutalipa tulichokopa tu bodi ya mkopo. Hongera mama.
=====
SERIKALI imefuta tozo ya asilimia 6 ya thamani ya deni la wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
Naona Rais wenu yuko busy na matamasha hadi ya Rais kuapisha masekretary, Sijui ipo kisheria au ni kupuyanga tu ili TV ziwe busy na Rais aonekane yupo na busy na shugli za kiserikali.
Ninavyojua...
Na Elia F Michael.
Baada ya kile kinachoitwa Great Economic Depression cha mwaka 1929-33 kuipiga Marekani na Ulaya alitokea Rais pale Marekani wa 32 aliyekuwa anaitwa Franklin Delano Roosevelt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.