Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndio ukweli wenyewe Yanga pamoja na kutoa burudani ni Taasisi ya kisiasa pia ndio kisa Uwanja wake ukaitwa Kaunda Stadium na Hati iko kwa mama Karume Hao Sunderland ni wapita njia tu na timu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga inatarajia leo kupewa zawadi na Rais Samia ya nyongeza ya eneo pale Jangwani ili eneo lile sasa liweze kutumika kwenye upanuzi wa kujengwa kwa uwanja wa mpira wa miguu wa Yanga...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Huu ni mfano tu, lakini huenda ukazaa mawazo chanya. Naamini, hitaji kubwa la nchi yetu kwa sasa ni mapinduzi ya fikra. Chukulia, umeonekana wewe ni mzalendo sana kwa nchi yetu nzuri Tanzania...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa yanayotokea Tanzania kila wakati, imenifanya niikumbuke habari niliyowahi kuisikia toka kwa marehemu Jackson Makweta aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara mbalimbali kwenye awamu mbalimbali, RIP...
44 Reactions
105 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametuma salamu za Pongezi kwa Timu ya soka ya Yanga kwa ushindi wao dhidi ya USM ALGER katika mchezo wa mwisho wa Fainali uliopigwa nchini Algeria. Mbowe...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Naamini vijana wengi wanajitenga na kutojihusisha na siasa au katika vyama vya siasa na shughuli zake huku wakiamini kua wao sio sehemu ya itikadi hiyo Ila ukweli kwamba kulingana na mifumo ya...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Sababu kubwa inayotolewa ya kwanini tunahitaji katiba mpya na si kufanya marekebisho kwenye katiba ya sasa, ni kwamba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikushirikisha...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
MBUNGE NEEMA MGAYA AITAKA SERIKALI KUFANYIA UKARABATI SHULE KONGWE HAPA NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Neema William Mgaya katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ametaka...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda...
18 Reactions
196 Replies
11K Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Hii ndio Tanzania taifa ambalo mambo makubwa yenye tija kwa taifa hayajadili kwa kina na wahusika kuchukuliwa hatua. Report ya CAG iliposomwa kulikuwa na mjadala mzito watanzania tukaamini...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
MHE. ORAN NJEZA - BARABARA ZILIZOPANDISHWA HADHI ZIWEKEWE LAMI MBEYA VIJIJINI "Je, lini barabara ya Ilambo - Nsonyanga inayounganisha Barabara ya Isonje - Makete - Njombe - Tanzaki itapandishwa...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA. Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
02 November 2022 TAARIFA YA MBUNGE WA NGARA NDAISABA RUHORO KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAWASILIANO KATIKA KATA 9 Akizungumza na Ngara TV, mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom