benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa kulinganisha na nchi zingine. kutokana ná mikakati iliyowekwa na serikali.
Alitoa, kauli hiyo jana wakati wa harambe ya kuchangia ujenzi wa shule mbili za sekondari za Kiomboi .na Kititimo iliyoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kati-Singida.
Waziri huyo alisema hatua ya Marekani na mataifa mengine makubwa kuja "na sera hiyo ya kupunguza dola inay. otumika kama sarafu ya. kubadilishana katika biashara imefanya mazingira magumu kwa nchi zinazoendelea na zilizoendelea kwa kuwa bidhaa nyingi zinaagizwa kwa kutumia dola."
"Tunaona mambo kama vile ni magumu, lakini Tanzania tukijilinganisha na nchi zingine bado tuna unafuu na hata tukikutana mawaziri wa fedha, mimi ninaombwa kupiga picha nyingi sana kwa sababu va hali ya uchumi ilivyo nzuri katika nchi yetu," alisema.
Dk. Mwigulu aliongeza kuwa, katika kukabiliana na changamoto ya uzalishaji duni, Rais Samia Suluhu Hassan. amepandisha bajeti ya kilimo mara nne, ili kupeleka miundombinu ya umwagiliaji, ii kuongeza uzalishaji wa mazao. Hilo litawafanya wananchi kuvuna mazao kwa wingi na hivyo kuondokana na umaskini.
"Ni, lazima tuipeleke nguvu kazi ka-zini ili iwe kazini kuongeza kipato cha mtu mmoja kwani shughuli za uzalishai. ndizo zinazokuza kipato cha mitu mmoja mmoja," alisema.