Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini.
Akitoa majibu bungeni...
Na Comrade Christopher H.Bomola
Mwanafalsafa Rosalynn Carter alipata kusema "kiongozi ni mtu anayewaongoza watu na kuwafikisha wanapotaka kwenda,lakini kiongozi bora ni yule anayewaongoza watu na...
Wiki hii kumekuwa na delays nyingi sana za ndege za ATCL.hii inasabibsha usumbufu sana sana.
Ushari wa bure,kama una ticket ya ATCL,Saa ya kuondoka haina uhakika.Yaani ni kama treni ya kwenda...
Habari ndugu zangu,
Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo.
Mara ya mwisho...
Kuanzia leo nitawapinga wote wanaopinga UFISADI na MAFISADI kwani mafisadi wamekuwa ndio waajiri wetu kwa sasa.
Kutokana na ufisadi na mafisadi Kuongezeka na upigaji wa pesa ya Umma kuwa mkubwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kukubalika ,kupendwa na kuungwa mkono kwa Rais Samia kutoka jumuiya ya Wanamichezo kumewachanganya na kuwavuruga Akili wapinzani hapa nchini,Sasa wapinzani...
Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa...
Habarini wadau,
Nakiwa katikati ya jiji la Dar es salaam kitovu cha biashara Tanzania. Leo tumeshuhudia mvua kubwa sana isiyokatika.
Jambo moja lililonifurahisha ni kuwa pamoja na mvua hii yote...
Kila binadamu angeachwa aenende kwa Kipaji na Karama aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu basi duniani pangekuwa mahali pa Heri na hakuna mtu angetamani Kumtawala mwenzake
Ndio ikaletwa Siasa Ili...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi katika kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Jijini Dodoma amehoji Wizara ya Nishati kuhusu utekelezaji wa Miradi ya REA III awamu...
Updates:
Video imeambatanishwa
.
.
.
Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii...
Huwa naamini watawala nchi hii ni wanufaikaji kwa sbabu la sivyo haya mambo yangeisha kuwa Historia kitambo sana, Urasimu huu una manufaaa kwa utawala sema hatuambiwi.
Taasisi zote za Serikali...
Je huko Ikulu Raisi amegusia viwanja vya michezo kwa watoto vilivyo badilishiwa matumizi na kuuzwa? Niko mbali sana na news.
Mapinduzi ya Michezo huanza na kuwa pia na maeneo mazuri ya kuchezea...
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.
Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote...
Tuache siasa za chuki, kama sijakupa kura mwaka huu isiwe sababu ya kutoleta huduma muhimu kwangu.
Kumbuka Maendeleo yanaletwa na kodi zetu na sio siasa za chuki, Wabunge na Madiwani acheni siasa...
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara...
Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari.
Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads.
Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in...
Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa.
Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.