Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki...
Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko.
ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30...
Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya...
Wakuu
Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani...
MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA MULEBA WANUKIA
Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanza utekelezaji mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Muleba kwa mwaka wa fedha ujao.
Hayo...
Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia...
Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu...
Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi...
BRAHIM JEREMIAH
S.L.P 602
SONGEA
06/06/2023
KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE
10 BARABARA YA MOROGORO
S.L.P 941,
40490 TAMBUKARELI
DODOMA
YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA...
Salaam Wakuu,
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema...
Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya...
Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa.
Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo...
Mimi ni muumini wa Bunge kuwa na nguvu (Parliamentary Supremacy) dhidi ya serikali (Executive Supremacy) au chama (Party Supremacy).
Bunge ndiyo chombo au muhimili mkubwa (Principal organ) wenye...
Wapumbavu wanaotetea ubinafsishaji (ashakum si matusi) Wana hoja kadhaa!
Ila moja iliyo strong kwao ni wizi wa fedha za umma kwa watendaji wa Taasisi!
Huu Ni upumbavu!
Kwa nini utoe rasilimali...
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe...
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili...
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha.
Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake.
Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Juni 8, 2023 amekagua ujenzi wa Jengo la wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma na kuridhishwa na hatua ya...
Heshima sana wanajamvi,
Leo naomba tujikite katika mjadala wa athari za uuzwaji wa NBC kwa kampuni ya ABSA ya Afrika kusini.Miaka ya 90s NBC ilikuwa moja ya bank kubwa sana kusini mwa jangwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.