Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne...
Ratiba za bunge zinaonesha kuwa tarehe 10/6/2023 bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania litakaa na kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya Daubai kifungu Kwa kifungu.
Kwa wale wanaotaka...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye...
Saa nyingine mimi naon ni Sawa tu.
Kwani tangu tumekuwa na hayo madini au gesi au misitu na wanyama je kama Tanzania au wewe mwenzangu mvuja jasho tumefaidika nini chini ya CCM?
Mimi naona kama...
1. Je wewe ni msemaji wa Serikali?
2. Je, wewe ni afisa uhusiano wa TPA?
3. Ni msemaji wa chama tawala?
4. Je wewe ni msemaji wa Bunge na kamati zake?
5. Twambie wewe ni nani?
Huoni kama ni...
Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna...
Nimemsikiliza Mh mbowe kwa umakini sana, awali ya yote nisamehewe kwani kuna wakati nilihoji na kuponda maamuzi ya mbowe nikidhani ni 'mlamba asali'
Yameongelewa mengi kuhusiana na mkataba wa...
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.
1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,
2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa...
Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba...
Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi...
Kwa heshima kubwa nakusalimu mama yetu Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania, nakupa pongezi kwa mambo makubwa unayoyafanya kwa maslahi ya taifa hili.
Mama mpira wa miguu sehemu...
Waarabu awamu ya nne walikuwa wanajipimia kila walichokipenda kupeleka kwao uarabuni.
Madege makubwa ya mizigo yalisomba kila aina ya raslimali kwenda kwao uarabuni.
Watanzania walipiga kelele...
Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo...
Karibuni mikoa yote Tanzania bara.
1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni
2. Kundi na watumishi wa TPA
3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali
3. Kundi la wafanyabiashara
4. Wananchi...
Hii ndio Taarifa ndogo ndani ya Taarifa kubwa iliyotolewa na Freeman Mbowe kutokea Ulaya , ambako yuko kwa ziara ya kikazi .
Akizungumzia kashfa ya kuuzwa kwa Bandari ya DSM na zingine nchini ...
Naandika nikiwa na mawazo ambayo hayajasababishwa na mahusiano ya kimapenzi kama Vijana wengi wa kiswahili wanavyo hangaika.
Bali kuhusu mwendo wa Taifa langu na hatima ya bandari zetu. Ndio ni...
Hakuna hata mbunge mmoja aliyekataa/kupinga mswada wa TISS mpya na ile ya tume ya mipango hii inaleta ukakasi hoja ya Zitto aliyosema wamemwambia haita jadiliwa bungeni, Zitto ni muongo Kwa hili ...
Ukweli ni kwamba kitu kinachoitwa katiba ys jsmhuri ya muungano wa tanzania iliyopo sasa umma wa Tanzania hakuna anayeijua hata wapinzani wameshindwa kuwaelimisha watanzania kasoro za katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.