Merk Alphonce Vicent
Member
- Jan 22, 2023
- 8
- 2
Naamini vijana wengi wanajitenga na kutojihusisha na siasa au katika vyama vya siasa na shughuli zake huku wakiamini kua wao sio sehemu ya itikadi hiyo
Ila ukweli kwamba kulingana na mifumo ya maisha ilivyo siasa ndio inayo amua maisha yote kwa wale vijana wasio shiriki na wanao shiriki
Hivyo iko haja ya vijana wote kupatiwa elimu itakayo wasaidia kujua umuhimu wa wao kushiri katika siasa sababu inaamua hatima ya maisha yao hivyo wakijua inaweza kuwasadia katika kuchangia mawazo yao kipindi pale yanapojadiliwa masuala fulani ya kijamii kabla hayaja pitishwa na kuanza utekelezaji wake
Ila changamoto ninayo iona ukweli kwamba kutokana kwamba ili ufanye harakati za siasa kwa mujibu wa sheria ni lazima ujiunge na chama kilicho sajiliwa ndio ufanye harakati za siasa hivyo bado atuna uhuru wa kweli kuweza kuamua chama gani cha kufanya harakati hizo
Kulingana na mifumo tuliyonayo kwenye nchi zetu nyingi za dunia ya tatu wakati mwingine unalazimika kuunga juhudi kwa chama kilichopo madarakani hata kama ahukulizika kuwepo hapo hiyo ni kwa sababu kama una hera au mtaji ni rahisi kupotezwa kwa wakati ambao itangundulika ushawishi wako ni mkubwa
Hivyo kama unazo pesa ni rahisi kukimbia au unapokua unaumwa hata matibabu unaweza kwenda nje ila kama huna hera safari ya kisiasa inaweza kuishia hapo au kusiko julikana
Kutokana na baadhi ya sababu nilizo ziainisha hapo ndio inapelekea vijana kushindwa kufanya siasa nafikiri kama kutakua na mazingira bora na rafiki inawezakana kujiunga na harakati hizo kwakua baadhi yetu tunajua kua siasa inamekua sahemu kubwa kwenye maisha ya siku zote.