Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuleta Tabasamu na Matumaini katika mioyo ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,346
9,777
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya Watanzania.

Ndio maana unaona muda wote akiwa kazini, muda wote yupo kwa wananchi kusikiliza Kero, changamoto na kuzitolea majawabu. Anahangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa shuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati, mahospitalini wagonjwa wanapata matibabu, kukuta wataalamu na kupewa vitanda vya kulalia. Anahangaika na kukosa usingizi ili kila kijana anayemaliza kidato Cha sita apate mkopo wa Elimu ya juu na kutimiza Ndoto zake za kielimu.

Rais wetu tunamuona muda wote yupo kazini ili kuona kuwa watanzania wanapata huduma Bora na kuhudumiwa vizuri, anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa huduma zinasogezwa karibu ya mwananchi, anakosa muda wa kukaa na familia yake ili akutane na kuwashawishi wawekezaji waje kuwekeza Tanzania na hivyo kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana. Anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa anafaidika na jasho lake na siyo kunyonywa na mtu au Taasisi yoyote ile. Ndio maana Leo hii wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya Rais wao kuweka mikono yake katika kilimo na kuwafuta machozi ya muda mrefu yaliyokuwa yakibubujika katika mioyo yao.

Ndio maana anaendelea kupita huku na Kule ili kuhakikisha kuwa Taifa letu linapata mwanga wa umeme muda wote na hivyo kuchochea shughuli za kiuchumi na kiuwekezaji. Anakosa hata muda wa kupumzika ili kuhakiksha kuwa watanzania wanapata maji Safi na salama na siyo kutukima maji wanayokunywa wanyama Kama ng'ombe katika madimbwi,ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya vinakuwepo na Kuendelea kila mahali walipo Watanzania.

Ndio maana kwa juhudi hizi za mh Rais wetu mchapa kazi ndani ya muda mfupi wa uongozi wake tunashuhudia watanzania wakiwa wenye furaha. Tabasamu na matumaini makubwa katika mioyo yao, ndio maana tunaona maendeleo makubwa katika kila eneo,ndio maana Tunaona Tanzania ikiwa inapigiwa mfano na Benki ya Dunia pamoja na shilika la Fedha la kimataifa kwa ukuaji mzuri wa uchumi, ndio maana Tunaona watoto wote wanaofaulu darasa la Saba wanapata nafasi ya kuripoti shuleni kwa wakati mmoja baada ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20.

Ndio maana Tunaona wakulima wakiwa Ni wenye furaha hasa baada ya kupewa mbolea za Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni, ndio maana Tunaona mikopo kwa Elimu ya juu ikiongezeka na wanafunzi wote wenye sifa wanapewa mikopo, ndio maana Tunaona watumishi wa umma wakiongezwa mishahara, kupandishwa madaraja na kuongezwa Nyongeza ya kila mwaka. Ndio maana Tunaona mishahara ikiwahi na kuwahishwa kuliko nchi yoyote Ile Barani Afrika, ndio maana tunaona miradi ya kimkakati Kama bwawa la nyerere pamoja na SGR vikiendelea kwa Kasi ya mwanga, ndio maana tunaona akitoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana mitaani, ndio maana tunaona miradi mbalimbali ikiendelea kila Kona ya nchi yetu.

Ndio maana Tunaona mzunguko wa fedha mitaani ukiwa Ni wenye Afya, ndio maana tunaona wawekezaji na watalii wakipishana angani Kama ndege kuja na kuwahi Tanzania ya Rais Samia itiririshayo fursa. Ndio maana Tunaona biashara zikifunguliwa kila Kona ya nchi yetu, ndio maana tunaona mapato yakipanda mpaka Trioni mbili kwa Mwezi, ndio maana tunaona viwango vya furaha vikiongezeka kwa watanzania, ndio maana tunaona vyombo vya habari vikipamba habari njema juu ya maendeleo makubwa yaliyopatikana pamoja na mikakati ya serikali katika kuinua na kuboresha uchumi wetu, Ndio maana tunaona kipato Cha mtanzania kikiboreka na kuleta matumaini.

Hii yote ni kutokana na juhudi kubwa za Rais wetu hodari na mwenye ujasiri katika moyo wake, hii yote ni kutokana na kuchukua maamuzi magumu ya kiuongozi katika Sera na ajenda zenye kuleta matunda kwa Taifa letu. Hii yote Ni kutokana na maono makubwa ya kiuongozi aliyoyabeba Rais wetu katika kifua chake.Ndio maana anaendelea kuungwa mkono na kupewa ushirikiano na watanzania na kuwa Rais na kiongozi wa mfano Barani Afrika.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania.

Ndio maana unaona muda wote akiwa kazini, muda wote yupo kwa wananchi kusikiliza Kero, changamoto na kuzitolea majawabu. Anahangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa shuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati, mahospitalini wagonjwa wanapata matibabu, kukuta wataalamu na kupewa vitanda vya kulalia. Anahangaika na kukosa usingizi ili kila kijana anayemaliza kidato Cha sita apate mkopo wa Elimu ya juu na kutimiza Ndoto zake za kielimu.

Rais wetu tunamuona muda wote yupo kazini ili kuona kuwa watanzania wanapata huduma Bora na kuhudumiwa vizuri, anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa huduma zinasogezwa karibu ya mwananchi, anakosa muda wa kukaa na familia yake ili akutane na kuwashawishi wawekezaji waje kuwekeza Tanzania na hivyo kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana. Anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa anafaidika na jasho lake na siyo kunyonywa na mtu au Taasisi yoyote ile. Ndio maana Leo hii wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya Rais wao kuweka mikono yake katika kilimo na kuwafuta machozi ya muda mrefu yaliyokuwa yakibubujika katika mioyo yao.

Ndio maana anaendelea kupita huku na Kule ili kuhakikisha kuwa Taifa letu linapata mwanga wa umeme muda wote na hivyo kuchochea shughuli za kiuchumi na kiuwekezaji. Anakosa hata muda wa kupumzika ili kuhakiksha kuwa watanzania wanapata maji Safi na salama na siyo kutukima maji wanayokunywa wanyama Kama ng'ombe katika madimbwi,ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya vinakuwepo na Kuendelea kila mahali walipo watanzania.

Lucus msambwanda kumbuka gharama za kuingiza umeme Tanzania bara zaidi ya laki 3 huku Zanzibar ya ikiwa 27000 na Zanzibar wamesamehewa deni la umeme zaidi ya bilion 60 ambazo ni jasho la watanganyika masikini nadhani amejitolea kuwapa tabasamu wazanzibar kwa gharama ya jasho la damu la watanganyika
 
Suala la kusamehewa Deni Ni la kawaida ndio maana kuna wafanyabiashara wengi tu unakuta wanasamehewa madeni Yao ya nyuma Kama ambavyo alifanya mh Rais alipoingia madarakani.
 
Nadhani mbinu Bora za kutangaza kazi za serikali ya Mama yetu, Rais wetu Daktari Samia S. H. ni kuleta habari za namna hii hapa Chini.

Katika kipindi cha Mama yetu Mheshimiwa Rais wetu Daktari Samia S.H, haya yanafanywa na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia TEMDO. TEMDO wamefanya haya kwa sababu Mama katoa nafasi sahihi, na kwa wakati, na rasilimali haya kufanyika. Hapa mpinzani wa Mama lazima apate kizunguzungu kumpinga hoja hii.
===

Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania.

Ndio maana unaona muda wote akiwa kazini, muda wote yupo kwa wananchi kusikiliza Kero, changamoto na kuzitolea majawabu. Anahangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa shuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati, mahospitalini wagonjwa wanapata matibabu, kukuta wataalamu na kupewa vitanda vya kulalia. Anahangaika na kukosa usingizi ili kila kijana anayemaliza kidato Cha sita apate mkopo wa Elimu ya juu na kutimiza Ndoto zake za kielimu.

Rais wetu tunamuona muda wote yupo kazini ili kuona kuwa watanzania wanapata huduma Bora na kuhudumiwa vizuri, anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa huduma zinasogezwa karibu ya mwananchi, anakosa muda wa kukaa na familia yake ili akutane na kuwashawishi wawekezaji waje kuwekeza Tanzania na hivyo kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana. Anahangaika huku na Kule ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa anafaidika na jasho lake na siyo kunyonywa na mtu au Taasisi yoyote ile. Ndio maana Leo hii wakulima wanafaidika na jasho lao baada ya Rais wao kuweka mikono yake katika kilimo na kuwafuta machozi ya muda mrefu yaliyokuwa yakibubujika katika mioyo yao.

Ndio maana anaendelea kupita huku na Kule ili kuhakikisha kuwa Taifa letu linapata mwanga wa umeme muda wote na hivyo kuchochea shughuli za kiuchumi na kiuwekezaji. Anakosa hata muda wa kupumzika ili kuhakiksha kuwa watanzania wanapata maji Safi na salama na siyo kutukima maji wanayokunywa wanyama Kama ng'ombe katika madimbwi,ujenzi wa zahanati na vituo vya Afya vinakuwepo na Kuendelea kila mahali walipo watanzania.

Ndio maana kwa juhudi hizi za mh Rais wetu mchapa kazi ndani ya muda mfupi wa uongozi wake tunashuhudia watanzania wakiwa wenye furaha. Tabasamu na matumaini makubwa katika mioyo yao, ndio maana tunaona maendeleo makubwa katika kila eneo,ndio maana Tunaona Tanzania ikiwa inapigiwa mfano na Benki ya Dunia pamoja na shilika la Fedha la kimataifa kwa ukuaji mzuri wa uchumi, ndio maana Tunaona watoto wote wanaofaulu darasa la Saba wanapata nafasi ya kuripoti shuleni kwa wakati mmoja baada ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20.

Ndio maana Tunaona wakulima wakiwa Ni wenye furaha hasa baada ya kupewa mbolea za Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni, ndio maana Tunaona mikopo kwa Elimu ya juu ikiongezeka na wanafunzi wote wenye sifa wanapewa mikopo, ndio maana Tunaona watumishi wa umma wakiongezwa mishahara, kupandishwa madaraja na kuongezwa Nyongeza ya kila mwaka. Ndio maana Tunaona mishahara ikiwahi na kuwahishwa kuliko nchi yoyote Ile Barani Afrika, ndio maana tunaona miradi ya kimkakati Kama bwawa la nyerere pamoja na SGR vikiendelea kwa Kasi ya mwanga, ndio maana tunaona akitoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana mitaani, ndio maana tunaona miradi mbalimbali ikiendelea kila Kona ya nchi yetu.

Ndio maana Tunaona mzunguko wa fedha mitaani ukiwa Ni wenye Afya, ndio maana tunaona wawekezaji na watalii wakipishana angani Kama ndege kuja na kuwahi Tanzania ya Rais Samia itiririshayo fursa. Ndio maana Tunaona biashara zikifunguliwa kila Kona ya nchi yetu, ndio maana tunaona mapato yakipanda mpaka Trioni mbili kwa Mwezi, ndio maana tunaona viwango vya furaha vikiongezeka kwa watanzania, ndio maana tunaona vyombo vya habari vikipamba habari njema juu ya maendeleo makubwa yaliyopatikana pamoja na mikakati ya serikali katika kuinua na kuboresha uchumi wetu, Ndio maana tunaona kipato Cha mtanzania kikiboreka na kuleta matumaini.

Hii yote ni kutokana na juhudi kubwa za Rais wetu hodari na mwenye ujasiri katika moyo wake, hii yote ni kutokana na kuchukua maamuzi magumu ya kiuongozi katika Sera na ajenda zenye kuleta matunda kwa Taifa letu. Hii yote Ni kutokana na maono makubwa ya kiuongozi aliyoyabeba Rais wetu katika kifua chake.Ndio maana anaendelea kuungwa mkono na kupewa ushirikiano na watanzania na kuwa Rais na kiongozi wa mfano Barani Afrika.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Lengo halijatimia tu.
 
Tabasamu na natumaini huku unagugumia maumivu. Tupate Katiba mpya ili tucheke, nini tabasamu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom