Presidential Decree ya Miaka Mitano Tanzania

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Huu ni mfano tu, lakini huenda ukazaa mawazo chanya. Naamini, hitaji kubwa la nchi yetu kwa sasa ni mapinduzi ya fikra.

Chukulia, umeonekana wewe ni mzalendo sana kwa nchi yetu nzuri Tanzania, hivyo katiba ikabadilishwa na kukabidhiwa kiti cha urais kwa kipindi cha miaka mitano. Hutaruhisiwa kuongoza zaidi ya hapo.

Ili kukurahisishia utendaji wako, katiba ikabadilishwa, badala ya kuongoza kwa tarati za kawaida, ukaruhusiwa kuiongoza nchi kwa Presidential decree. Kwa kipindi chote cha uongozi wako, neno lako linakuwa ni sheria. Lengo ni ili kusiwepo na kizuizi cho chote cha kukukwamisha kufikia malengo utakayokuwa nayo ndani ya miaka mitano uliyopewa.

Ikiwa hilo lingetokea, wewe kama
wewe, ungeifikisha wapi Tanzania katika hicho kipindi cha miaka mitano?

Kwa kuwa utakuwa na mamlaka yote, isipokuwa tu ya kuua, utaachia madaraka katiba ikiwa katika hali gani?

Uchumi wa nchi na hali ya maisha ya wananchi itakuwaje?

Ni yapi yanayokukasirisha kwa sasa ambayo ungehakikisha unayarekebisha ukiwa Rais?
 
Huu ni mfano tu, lakini huenda ukazaa mawazo chanya. Naamini, hitaji kubwa la nchi yetu kwa sasa ni mapinduzi ya fikra.

Chukulia, umeonekana wewe ni mzalendo sana kwa nchi yetu nzuri Tanzania, hivyo katiba ikabadilishwa na kutwishwa kiti cha uraia kwa kipindi cha miaka mitano. Hutaruhisiwa kuongoza zaidi ya hapo.

Ili kukurahisishia utendaji wako, katiba ikabadilishwa, badala ya kuongoza kwa tarati za kawaida, ukaruhusiwa kuiongoza nchi kwa Presidential decree. Kwa kipindi chote cha uongozi wako, neno lako linakuwa ni sheria. Lengo ni ili kusiwepo na kizuizi cho chote cha kukukwamisha kufikia malengo utakayokuwa nayo ndani ya miaka mitano uliyopewa.

Ikiwa hilo lingetokea, wewe kama
wewe, ungeifikisha wapi Tanzania katika hicho kipindi cha miaka mitano?

Kwa kuwa utakuwa na mamlaka yote, isipokuwa tu ya kuua, utaachia madaraka katiba ikiwa katika hali gani?

Uchumi wa nchi na hali ya maisha ya wananchi itakuwaje?

Ni yapi yanayokukasirisha kwa sasa ambayo ungehakikisha unayarekebisha ukiwa Rais?
Chawa za mwendakuzimu, alitawala kwa mkono wa chuma kwa Presidential decree, aliuwa wakosowaji, na vibaraka wake walikuwa mbioni kubadiri katiba atawale milele, Mungu akakataa.
 
Samahani mkuu, comment yako inahusianaje na uzi?
 
Usinipangie cha kucomment, thread ukishapost hapa ni Mali ya JF ndio maana huna access ya kudelete thread.
Sawa kiongozi. Nilifikiri kumetokea communication barrier, ndiyo maana nikakuuliza ili kama umeelewa tofauti na nilichomaanisha, niweze kufafanua zaidi.

Lakini kwa kuwa umekiri kuwa ulichocomment hakihusiani na nilichopost, haitakuwa ustaarabu kukuomba ufafanuzi.
 
Unavuta bangi au umewahi kuvuta bangi?
 
Takataka za mwendakuzimu.
Mkuu Matola,nikiangalia hali ya hewa huko Nje ilivyo nuna na Mvua hizi wala sikulaumu na majibu yako humu,ni kipindi chenu mwezi mchanga, wengine mnajirusha hadi magorofani,ni kuomba Mungu tu kipindi chenu kipite salama, pole na kuumwa!!
 
Hii hali ya hewa namkaza dadako.
 
Kwani nchi hii haiongozwi kwa Presidential decree?
"Yuko hapa mhandisi anayelalamikiwa?
Ah,yupo. Wewe mhandisi,unaweza kujitetea vipi haya mambo wanayolalamika wananchi?
Unachelewa kunijibu? Ok,umeshatumbuliwa. Nitaleta mhandisi mwingine"
 
Back
Top Bottom