Nimewiwa kuandika huu Uzi kwa sababu maalumu mbili. Kwanza upendo wangu Taifa langu Tanzania na pili Uzi huu kutumika kuimulika kesho ya Taifa langu.
Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwl Nyerere...
Hakuna haja ya kuleta Porojo, Mkeka huu hapa.
======
Mbowe: Ufunguzi wa Oparesheni ya +255 ni ukurasa wa kwanza kuelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kimfumo katika nchi yetu. Sisi...
Siasa ni Sayansi wakati Mbowe na Chadema wakiwa Kigoma Zitto Kabwe na ACT Wazalendo walikuwa Ruvuma
Leo Zitto Kabwe kaingia Geita lakini Mbowe na Tundu Lisu hawajulikani walipo😄😄
Siasa ni...
Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita...
Kitabu cha kumfagilia JPM Malawi kimeandikwa kwa mashinikizo ya Polepole na Sukuma-Gang ndo maana akahamishiwa Cuba!!
Wakuu mambo ni mengi muda ni mchache haki hivi huyu Polepole ataacha drama au...
- 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ).
- Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu wa Ruvuma na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam...
Siyo hadi Komredi Chongolo aseme bali ni ukweli ulio wazi Katiba mpya italetwa na CCM
Sasa kwanini Chadema wametumia Fedha nyingi kwenye jambo wasilo na uwezo nalo?
Mlale Unono!
Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu...
Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana!
Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa,
Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza...
Ni kilio kikubwa kwa askari wa jeshi la polisi nchini posho zao zimekuwa zinapigwa danadana kwa visingizio kuwa mtandao makao makuu dodoma unasumbua mara kwa mara na hadi sasa hawajapata posho zao...
Senagali kwa sasa hali ni tete baada ya Kiongozi wa Upinzani kuhukumiwa kwa kosa la Ubakaji kesi ambayo inekana ni ya Kisiasa.
Hili kwa Tanzania labda baada ya kizi cha 5 kutoka hiki tulicho...
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM.
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti...
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea
January Makamba ameandika historia.
Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.
Akiwa mtoa rushwa mkuu...
Hii nchi nacho Ipendea sisi Vilaza tuko wengi tunadanganywa sana na tutadanganywa hadi mauti itukute, yaani mwisho wa kufanganywa na kuhadaiwa ni siku mtu amekata pumzi, tofauti na hapo tuendelee...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MALIASILI NA UTALII_ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD MWAKAN’GWALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24.
Utangulizi...
WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUJENGA VITUO VYA MAFUNZO KWA WARAIBU DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema...
Spika mstaafu mama Makinda amesema Ujio wa Hayati Magufuli kama Rais wa JMT ni Siri ya Mungu na hata sasa ameungana na Hayati baba wa taifa Mwalimu Nyerere huko Peponi.
Makinda amesema Magufuli...
Kwa nia Njema kabisa naomba kuuliza huko Kanda ya Magharibi na Ziwa Victoria hivi Mkoa wa Kigoma na Kagera upi ni Maskini Wenye Watu waliotopea kwenye ufukara?
Nakumbuka Kariakoo ya 1980s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.