Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha.

Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu, Evodia Kyaruzi na Wakili wa Serikali Mwandamizi Grace Mwanga pamoja na Ipyana Mwakatobe wamesema watuhumiwa hao wanatuhumiwa kuhujumu uchumi kiasi cha shilingi bilioni 1.8 ambacho ni mali ya shirika la NIC.

Katika mashitaka hayo 365, yapo ya kughushi nyaraka mbalimbali, kutakatisha fedha, kuongoza genge la uhalifu, kuchepusha fedha, kuwasilisha nyaraka za uongo na kulisababishia hasara shirika hilo.

Washitakiwa wengine ni Tabu Kingu, Victor Mleleu, Peter Nzunda, Kenan Mpalanguro, Lusubilo Sambo na Mafworo Ngereji.

Kutokana na muda wa mahakama kuisha, washitakiwa hao wamesomewa mashitaka 101 pekee, huku mashtaka mengine wakitarajia kusomewa Jumatatu Juni 5, mwaka huu.
 
Walikula kwa ulafi au waliwasahau vizito?
 
Pole zao!
 
Ni upuuzi tu! Mtu anakuwaje na mashitaka 300+ kama siyo kutengeneza ulaji wa fedha za umma! Kwa vyo vyote vile hilo ni shitaka moja ila wamepindisha pindisha maneno!
Kama sheria hujui si unyamaze uwaachie wachangie wanaojua mkuu!!??
 
Ni upuuzi tu! Mtu anakuwaje na mashitaka 300+ kama siyo kutengeneza ulaji wa fedha za umma! Kwa vyo vyote vile hilo ni shitaka moja ila wamepindisha pindisha maneno!
Kwani ujui Bongo kesi ni biashara hayo ni kutengeneza mazingira ya kubargain watakaa mezani watapewa zao watalipa faini wataingia mtaani.
Nani alishawahi fungwa kwa ufisadi bongo.
Mramba alipiga picha anadeki hospital kesi ikaisha hio
 
Kwa uhuni uliopo NIC miaka nenda rudi,hiyo pesa 1.8B mbona ni ndogo sana?

Kuna watu hapo wamefyekwa mishahara yao kwa miaka ishirini kwenye Bima ya maisha na hawajaambulia kitu.

Wengine wamefuatilia mpaka wamenyoosha mikono juu, mikataba inaghushiwa baada ya kusainiwa etc.

Ukifanyika ukaguzi zaidi kuna zaidi ya hiyo pesa iliyopigwa toka miaka ya 90 huko.
 
Back
Top Bottom